Search results

  1. alpha walk

    Vigezo vya kushiriki green card lottery

    Kama huna cha kumwambia kuhusu alichouliza ingefaa kama ungekaa kimya tu hakukuwa na ulazima wa ku-comment
  2. alpha walk

    Vigezo vya kushiriki green card lottery

    ni rahisi tu muhimu ni picha yenye vipimo vyao(mm nilitafuta rafiki akanipiga nikaisubmit)ila nasikia wengine wanasema mjini wanapiga kwa 10,000 kisha unajaza fomu yao ambayo haichukui hata dakika 30.Mimi nimecheza mwaka jana nasubiri matokeo wiki ijayo,ila zoezi bado halijafunguliwa mpaka mwezi...
  3. alpha walk

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    wakuu matokeo yakitoka tuambiane maana kama sijakosea imebaki wiki 1
  4. alpha walk

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Tutaongea yote na tutamaliza maneno yote ila Marekani ni land of opportunities,mwingine anasema kabisa eti bora aendelee kuteseka hapa Tz kuliko kwenda US kwa kisingizio eti upweke utamsumbua!
  5. alpha walk

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Wakuu wale tuliocheza lottery mwaka jana majibu si ndo yanatoka May mwaka huu??ila sijaelewa kwanini imeitwa 2025 ilhali tumecheza 2023
  6. alpha walk

    Maisha hayana fomula lakini yana siri nyingi. Chukua hizi 11 kama zitakufaa

    Hyo #1 ipelekwe bungeni ipitishwe iwe sheria
  7. alpha walk

    Costal union vs 5

    Siku hz haiitwi jumatano inaitwa jumasimba
  8. alpha walk

    Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

    hivi leo EPL kuna mechi gan kali?
  9. alpha walk

    Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    mkuu agiza pepsi ya bardiiiiiiiiiiiiiiii iwe na tubarafu barafu kdg
  10. alpha walk

    Soma hii Live Chat mimi na mwanamke ninayemtaka ofisi moja, toeni maoni wazee

    😂😂mi nimerudia mara 3 ndo angalau nahic kama nimeelewa
  11. alpha walk

    Nachukia sana vijana wenzangu wa ovyo

    ah nilisahau kumbe natakiwa nioe sasa,jamani anayemjua wife material aniambie
  12. alpha walk

    INAUZWA Nauza perfume

    Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam unaweza kunichek kwa namba 0674376787 nikakuletea sample.
  13. alpha walk

    Movie ya EONII hakuna kitu

    hii movie mi sijafinikiwa kuiona ila kwa nilivoona tangazo lao nikawa nahic kabisa humu shughuli hamna na ile IST yao😅😅alaf cjui kwa nn azam wanakuwa wanaipa movie fulani booooonge la promo lkn ukifanikiwa kuiangalia hamna kitu
  14. alpha walk

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    mkuu sijakulewa vzr unaposema una mke single mother,yan anakuwaje single mother ilhali ww upo na mmeoana?au ulimuoa akiwa na mtoto tayari?
  15. alpha walk

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji28]umemsahau wa kuitwa victoria cakes
  16. alpha walk

    Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

    [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] ss komwe lake limekujaje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom