Search results

  1. Mr JM

    Je, naweza kuagiza main parts za pikipiki then niunge pikipiki kamili?

    Salama wakuu, Sina ujuvi kabisa ya haya mambo, kutokana na vyuma kukaza nimefikiria kununua pikipiki maarufu bodaboda Toyo, king lion, au boxer kwa ajili ya biashara wastani wa pikipiki 2 au 3 sasa nimefikiria kupata kwa bei ya chini kwa wajuvi naomba mnisaidie naweza kuagiza all the way from...
  2. Mr JM

    Jinsi Corona ilivyosababisha sintofahamu kwa wadeni wangu

    Habari wapendwa. Huu ugonjwa wa corona sijui utaisha lini maana imevuruga mambo mengi kwelikweli yaani naandika moyo ukiwa unaniuma, iko hivi nawadeni wanne naowadai pesa ya maana achana na wadeni wadogowadogo tulikopeshana ni watu wakaribu waboost mambo yao tangu disemba mmoja kati ya wanne...
  3. Mr JM

    Vodacom Tanzania uvumilivu umenishinda

    Habari wana Jf Nimekuwa Mtumiaji wa vodacom kwa mda mrefu ila sasa nimevumilia nimeshindwa kero ni nyingi mno kubwa ya yote ni ulaji wa bando MB's mfano Jana jioni nimenunua GB 2 asubuhi naperuzi Instagram sms inaingia bando lako ni chini ya MB 0 kha nilichoka na sikuwa na matumizi makubwa...
  4. Mr JM

    Kutuko katika ukuaji wa kuku wangu

    Kwanza niwe mkweli sijawahi kufuga chochote kile mwanzo na sina experience ndo nimeanza mwisho wa mwaka uliopita. Iko hivi, mwezi Desemba mwanzoni tarehe 8 nilianza safari ya ufugaji wa kuku chotara. Nilikuwa nina mawazo ya kufuga kwa matumizi binafsi kupunguza kwenda sokoni kununua pale...
  5. Mr JM

    Utata juu ya mwanaJF Ontario

    Nilimfahamu kijana machachari Ontario way back 2017 jf paka Leo kupitia uzi wa forex nilimfuatilia sana nikamfollow Instagram yake sure aliniinspire vibaya sababu nililuwa na akili kama yake nilipenda ujasiriamali japo serekasi ni nyingi akaja na story ya kusisimua akijinasibu angefanya...
  6. Mr JM

    Humu vp

    Mm mgeni nimeamua kujumuika nanyi nimepata kujionea uzuri wa Jf nikaamua kujiunga najua ntapata mambo mengi.
Back
Top Bottom