Je, naweza kuagiza main parts za pikipiki then niunge pikipiki kamili?

Mr JM

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
266
459
Salama wakuu,

Sina ujuvi kabisa ya haya mambo, kutokana na vyuma kukaza nimefikiria kununua pikipiki maarufu bodaboda Toyo, king lion, au boxer kwa ajili ya biashara wastani wa pikipiki 2 au 3 sasa nimefikiria kupata kwa bei ya chini kwa wajuvi naomba mnisaidie naweza kuagiza all the way from China kwa mfumo wa parts yaani nianze kuagiza engine kivyake na parts nyingine kivyake hivi sitasave kweli then nije niassamble mwenyewe,maana naonaga wauzaji wanafungua box wanaunga wenyewe.

Itapendeza nikipata na site nzuri yenye bei chee,importation procedures je TBS watahusika mwisho gharama za kodi.

Je, kutakuwa na unafuu wowote au ninunue pikipiki kamili hapa nchini?

Thanks in advance.
 
Sasa SI gharama itafika milioni 50 kwa pikipiki moja?!!
Yaani uagize mudiguard,ulipe usafiri income tax,
Uagize tairi ulipe usafiri,tax
Uagize injini,etc
Lengo langu ni kuagiza separate ila mzigo uje pamoja na sio kuagiza kila kitu kitu cha msingi ni engine makorokoro nitachukua hapahapa
 
Mkuu inawezekana na wengi wanafanya hivyo hebu jaribu kuwacheki a agent wa kusafirisha mizigo watakuelekeza zaidi.
 
Gharama itakuwa kubwa zaid

Mfano kwa haojue
injini laki 9
frame 140,000
ream mbili mbele na nyuma 160,000
wiring 40,000
tank 70,000
bomba la moshi 70,000

yani bora tu ununue mpya asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa SI gharama itafika milioni 50 kwa pikipiki moja?!!
Yaani uagize mudiguard,ulipe usafiri income tax,
Uagize tairi ulipe usafiri,tax
Uagize injini,etc

Aisee ulipie Income tax kwenye mudiguard?

TRA bado wana kazi kuelimisha jamii khs kodi tofauti tofauti na maana zake.
 
Aisee ulipie Income tax kwny mudiguard?

TRA bado wana kazi kuelimisha jamii khs kodi tofauti tofauti na maana zake.
I see..sikujua,kumbe mudguard hazina Kodi...ngoja niagize container zima Nina kutegesha hela
 
I see..sikujua,kumbe mudguard hazina Kodi...ngoja niagize container zima Nina kutegesha hela
Aisee kumbe kodi za kutoa container zima kule bandarini hua zinaitwa Income tax,''nashukuru sana nimeelewa' leo.
 
Aisee kumbe kodi za kutoa container zima kule bandarini hua zinaitwa Income tax,''nashukuru sana nimeelewa' leo.
Ha ha,sorry Hapo umenikamata,,nilipitiwa bana,Ni import tax,,mambo mengine uwe unafumba macho yapite tu
 
Back
Top Bottom