Search results

  1. Betterhalf

    Huu ni wakati wa kumpa timu ya taifa Herve Renard

    Habari za leo wadau, Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast. Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu Fainali wa Kombe la Dunia mwaka jana. Pamoja na mambo mengine, lakini sehemu ambayo kama taifa...
  2. Betterhalf

    Mtazamo wangu: Simba tusimame haraka

    Tushauri tuweke neno gani?
  3. Betterhalf

    Mtazamo wangu: Simba tusimame haraka

    Tumesema tayari.
  4. Betterhalf

    Mtazamo wangu: Simba tusimame haraka

    Ahsante sana kwa maoni yako.
  5. Betterhalf

    Mtazamo wangu: Simba tusimame haraka

    MTAZAMO WANGU: SIMBA TUSIMAME HARAKA Habari wadau. Poleni sana kwa mwenendo usioridhisha kwenye michezo miwili ya ligi kuu ya NBC. Tumeumia, tumehuzunika sana, lakini nashauri kwamba iwe IMETOSHA. Game za derby hizi, wachezaji/timu zinatumia energy kubwa mno. Kwa hiyo, ni ngumu mno kuwa na...
  6. Betterhalf

    Biashara ya simu na vifaa vyake kutoka China

    Ngoja tuone...hii iwe sababu ya wenye ndoto ya biashara hii tuweze kupata fursa ya kuifanya hii biashara.
  7. Betterhalf

    Biashara ya simu na vifaa vyake kutoka China

    Sawa mkuu,tusubiri wajuzi waje kutushauri.
  8. Betterhalf

    Biashara ya simu na vifaa vyake kutoka China

    Wadau,Bado nipo hapa kuomba mawazo yenu kuhusu huu Uzi wangu.
  9. Betterhalf

    Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    Mmiliki wa awali ni mswahili au Muhindi?
  10. Betterhalf

    Biashara ya simu na vifaa vyake kutoka China

    Hello, habari wana jamvi. Nina ndoto ya kufanya biashara ya kuagiza ama kwenda kununua mzigo China hususan simu na vifaa vya simu. Naomba kujua na kupata ushauri wenu, nahitaji; 1. Mtaji kiasi gani? 2. Gharama za safari (kama itanilazimu kusafiri) 3. Itanichukua muda gani aidha nikisafiri ama...
  11. Betterhalf

    Gerson Msigwa amekataa uteuzi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara? Bado anafanya majukumu ya Zuhura Yunus na Msemaji wa Serikali

    Ushauri mzuri sana. Msigwa abaki na majukumu yake ya msingi kwenye Wizara ambapo yeye ndiye Mtendaji Mkuu wa Wizara yake. Jambo la msingi la kuzingatia ni kwamba, atapimwa kwa kile atakachokifanya pale Wizarani na siyo mapambio na mengine ambayo siyo sehemu ya majukumu yake. Kufanikiwa ama...
  12. Betterhalf

    Nitatumia siku ngapi Uhamiaji kama sitotoa Rushwa?

    Fuata utaratibu na usitoe rushwa kwa yeyote. Kupitia wewe, utatoa elimu kwa wahitaji wengine kuendelea na utaratibu wa kawaida.
  13. Betterhalf

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Rafiki yangu ameota akiwa masomoni India. Lakini alivyoamka asubuhi amejikuta yupo nyumbani kwake, akajiandaa kwenda kazini kama kawaida. Baadae alipigia simu kunieleza na kuniuliza nini tafsiri yake? Kiukweli, sina elimu, nikamwambia tuendelee kuuliza wajuvi wa mambo haya. Sasa mtaalamu...
  14. Betterhalf

    Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Binafsi ninaamini Salim Kikeke anajua anachokifanya na tarajieni kusikia taarifa njema zaidi kumhusu yeye. Namuombea kila la kheri kwenye maisha yake na utumishi wake kwa jamii ya Watanzania.
  15. Betterhalf

    Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Pole sana kwake. Lakini waamuzi wa EPL ni wa kuwadharau na kuwapuuza tu. Walihakikisha hadi wanaiondoa Man UTD kwenye fighting spirit kabla ya ETH nae kutuletea misukule yetu Evans na Maguire.
Back
Top Bottom