Search results

  1. msocial

    Msaada credit card ya kianzio kidogo

    Habarini wadau, naomba msaada ni benki gani inatoa credit card kwa kianzio kidogo mfano TZS50000-200000. niliuliza DTB nikaambiwa laki tano.
  2. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Kichwa cha habari kinajitosheleza....msaada wako tafadhali
  3. msocial

    Natafuta old school mwenye huu wimbo

    Wale waliokua miaka ya mwanzoni ya 2000 (2000-2004) kulikuwa na kundi la music la mwanza walikuwa wanajiita BWV (boys with voices) walitoa nyimbo nyingi ila maarufu zilikuwa ni Barabara za mwanza (sijui nimepatia) na mzee kijana. Kama kuna mtu ana nyimbo zao hasa huo wa mzee kijana naomba...
  4. msocial

    Hisa za laki 3 inawezekana?

    eti wataalamu naweza kununua hisa za laki 3 au mpaka bulk money pekee maana nimekosa pa kuzipeleka kwa sasa
  5. msocial

    Benki gani nzuri kufanyia biashara mtandaoni?

    Nisaidieni wakuu nataka nijue hapo... Mfano kuunganisha pay pal account, kulipia amazon, Alibaba etc ni bank gani nzuri naweza kutumia kufanya haya mambo
  6. msocial

    Eti wadau Christmas tarehe ngapi?

    Tukumbushane eti[emoji43] [emoji44] [emoji43] [emoji44]
  7. msocial

    Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas

    Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas hii! Awe dar, umri miaka 17-27. Asiwe mwanafunzi wa secondary au primary(miaka 30 shida)! Awe na nguo za sikukuu tu...mengine nitacover. [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Back
Top Bottom