Natafuta old school mwenye huu wimbo

Natafuta old school mwenye huu wimbo

msocial

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
78
Reaction score
43
Wale waliokua miaka ya mwanzoni ya 2000 (2000-2004) kulikuwa na kundi la music la mwanza walikuwa wanajiita BWV (boys with voices) walitoa nyimbo nyingi ila maarufu zilikuwa ni Barabara za mwanza (sijui nimepatia) na mzee kijana. Kama kuna mtu ana nyimbo zao hasa huo wa mzee kijana naomba anisaidie please
Ahsanteni
Tuwe social.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom