Search results

  1. M

    Mende!! Mende!!

    Hata mimi mwanzoni niliteseka sana na hawa wadudu, laikini baadae nilipata ufumbuzi na tiba halisi na ninakushauri uende kwenye maduka ya dawa za mifugo ulizia dawa fulani inaitwa FIPROFARM ni dawa ambayo iko kwenye kichupa kidogo. Ninakuhakikishia hii ukiispray ndani kwako usumbufu wote...
  2. M

    Nina 1Mil nataka post zilizo toka Udom

    Sasa ndugu huo si mtaji tosha kabisa wa kuanzisha biashara? Kwanini Watz tunapenda kuajiriwa, achana na mambo ya kuajiriwa tumia hiyo fedha kama mtaji anzisha biashara yako. Hela yote hiyo uihonge kisa kazi ya kuajiriwa!!!!!!!!!!!
  3. M

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Hivi wadau Tanzania hii kuna chekechea ya 20m? Hebu nitajieni moja na mimi niifahamu
  4. M

    Tujikumbushe enzi za madaladala maarufu

    U/Ndege-Shule ya Uhuru kulikuna Viva Bus
  5. M

    Kill Boyz

    Hebu wadau tuliosoma Kilimanjaro boyz tukumbushane mambo mazuri yaliyofanyika au jambo lililokufurahisha/kukumbuka. Kwa upande wangu namkumbuka sana Baba mchafu, Kichekiche na ile supa market yetu(kwa mwambai). Nawakaribisha wadau tujikumbushe historia
  6. M

    Mwanamke wa KIGOGO.

    'Karne ya 21 bado mnaongelea makabila!!!!!!makabila!!!!!' J.K.Nyerere
  7. M

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Haya yooote ni ubatili na kujilisha upepo!
  8. M

    Jamii ya Arusha Secondari

    Hi! skuli mates mbona mmemsahau TINGINYA na teacher mbaga!!
  9. M

    Jamii ya Arusha Secondari

    Wadau mnamkumbuka tinginya na teacher mbaga wa english!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. M

    Godbless Lema ni mwanasiasa anayejiamini mno

    Asante kwa ushauri wako kada wa chichiem.................Peoplezzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!
  11. M

    Staili ya Mapedeshee.......!!!!

    Huyo wa mwisho muuza kahawa lazima atakuwa ndugu yangu wa kule Lushoto..
  12. M

    Wale wanaotaka kupita kupitia mandela road

    Ndugu Watanzania nyie mbona sio wavumilivu tutawajengea fly overs hivyo msiwe na wasiwasi traffic jam haitakuwepo tena.
  13. M

    Huwezi amini SIMBA hiyooo! CAF

    Ndugu kuruhusiwa kucheza si ndio hayo magumashi yenyewe waliyoyafanya..
  14. M

    Kwanini Prof. Safari Alijiunga na Chadema Siku ya Wajinga?

    Ndio ilikuwa siku ya mwisho ya usajili wa dirisha dogo!!!!!!!!!!!!!!!
  15. M

    Mmm mama mwenye vikuku vya miguu kajaliwa si haba,F8

    Hawa ni Members wa East Africa Law Society!!!!!!!!!!!!
  16. M

    Bungeni..

    Jamani wadau wa jf mnaofahamu kinachoendelea huko mjengoni Dom naomba mtufahamishe kinachoendelea. Nawakilisha
  17. M

    Askari akitembea juu ya moto

    Hii kiboko naona huyu anakula kwa moto......................
Back
Top Bottom