Habarini wakuu,
Kuna ndugu yangu anatafuta shule ya english medium au private ya bei nafuu kwa ajili ya watoto wake walioko darasa la 3,4 na 5. Shule iwe Mwanza maana ndiko anakoishi.
Natanguliza shukrani
Salamu nyingi kwenu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance.
Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.