Search results

  1. Mr. Purpose

    msaada jinsi ya kusajili biashara ,leseni pamoja na gharama zake

    Kwa upande wa kuomba leseni ya biashara ninafanya, kwahiyo tunaweza wasiliana kukusaidia kupata leseni yako. Kama utahitaji masuala ya kusajili majina ya biashara BRELA pia nafanya. Karibu WhatsApp 0752026992
  2. Mr. Purpose

    Maandalio ya somo shule ya msingi

    Kwa wewe mwalimu wa shule ya msingi mwenye uhitaji wa andalio la somo shule ya msingi kwa mwaka mzima mada zote, zipo tayari na unaweza kuzipata popote ulipo Tanzania. Uaminifu kipao mbele na Sample zipo utatumiwa kujiridhisha kwanza. Tuma meseji WhatsApp "nahitaji andalio la somo" kisha...
  3. Mr. Purpose

    Unatumia mbinu gani Kuishi na mwanamke na huna hela?? Nataka Nianze kuishi na mchumba wangu wa muda mrefu ila sina hela

    Kama una mpango wa kuwa naye kama mke, Share kile kidogo unachopata na muweke wazi kuwa bajeti yenu kwasasa itakuwa haizidi kiasi fulani kutegemeana na hali yako. Kubaliana na hali halisi ya uchumi wako kwasasa. Kama mwanamke wako ni kundi la wale wajinga wafuata mkumbo na maisha ya kuigiza...
  4. Mr. Purpose

    Inasemekana kutembeatembea kwenye Mawe au kokoto ni Tiba nzuri Ya viungo vya mwili

    Kutembea miguu peku siku moja moja ni dawa. Pambana katika utafutaji na uwe na uwezo wa kuyatawala maisha yako kisha ishi yale maisha wanayoishi Monks wa dini ya Buddhism.
  5. Mr. Purpose

    Sitokwenda tena kanisani mpaka nisikie viongozi wa kanisa wanaweka sheria kali kwa uvaaji wa mavazi ya hovyo kwa wanawake ndani ya kanisa

    Asilimia 95 ya watu wanaoenda kanisani hawajui kwanini wapo kanisani Na hawajui nini maana ya IBADA.
  6. Mr. Purpose

    Nakula ila Sipati choo msaada jamani

    Fanya Mazoezi kwa bidii kama jinsi unavyokula kwa bidii. Yafanye Mazoezi kuwa sehemu ya maisha yako kama jinsi chakula kilivyo sehemu ya maisha yako. MKUU FANYA MAZOEZI.
  7. Mr. Purpose

    Kuwa na uwezo wa kujitegemea ni muhimu kuliko utajiri

    Ukifuata ushauri huu baada ya miaka mitano utajishukuru sana.
  8. Mr. Purpose

    Ni upi muda/umri sahihi wa mtu kufurahia maisha?

    Pambana kuitafuta amani ya moyo utafurahia maisha kila siku bila kujali umri wako.
  9. Mr. Purpose

    Ukiona hupo kwenye TikTok, Instagram na Snapchat jiandae kisaikolojia

    Ingi kwenye hizo platforms kutafuta hela. Kama hauingizi hela yoyote kwenye majukwaa hayo basi hayakufai. Ila kama unapata wateja wa huduma au bidhaa yako, komaa usiache.
  10. Mr. Purpose

    Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

    Hii elimu uliyotoa ni muhimu sana mkuu. Kuna watu utakuwa umewasaidia.
  11. Mr. Purpose

    Vijana tubadilike, communication skills muhimu sana.

    Umeona comment yangu au post yangu hapa JF, ukaona kuna kitu unahitaji kufahamu zaidi. Baada ya kuchukua namba, ingia WhatsApp anza salamu ya kueleweka kisha elezea shida yako moja kwa moja. Siyo unafika WhatsApp au PM unaanza "Hi, Hello" halafu unakaa kimya unasubiri ujibiwe ndiyo ujibu...
  12. Mr. Purpose

    Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

    1. Nitaanza na kufumua mfumo wa elimu ujikite katika vitendo zaidi na siyo nadharia. 2. Somo la computer na matumizi ya mtandao litakuwa lazima kuanzia shule ya msingi hadi vyuo vikuu. 3. Nitaondoa maisha ya mfumo wa ujamaa na kuupa kipao mbele ubepari. Unapata unachostahili na baada ya...
  13. Mr. Purpose

    Napata ugumu kupata kazi kwa wakati kutokana na kutokuwa na Pesa ya kuwezesha Kutafuta hizo kazi

    Ni rahisi sana kama ukiwa na nia ya dhati ya kujituma na uvumilivu ila ni ngumu kama hauna uvumilivu. Ukipewa vitu bure hauwezi kuvithamini ila ukilipia utaona uchungu na utajituma kutekeleza yale utakayojifunza. Kwa mwenye uhitaji na nia ya kujifunza jinsi ya kujiajiri kupitia mitandao...
  14. Mr. Purpose

    Napata ugumu kupata kazi kwa wakati kutokana na kutokuwa na Pesa ya kuwezesha Kutafuta hizo kazi

    Ulimwengu wa sasa pambana utafutwe wewe upewe kazi (be valuable) Tumia mitandao kuonyesha ujuzi na uwezo ulionao watu watakutafuta na kulipa gharama ya kuwa na wewe. Ulimwengu umebadilika. Kupitia ujuzi wa Digital Marketing nimekutana na kufundisha Wajasiriamali na watu ambao sikudhani kama...
  15. Mr. Purpose

    Nawezaje kupata Leseni ya Biashara ya online?

    Karibu tuwasiliane kukusaidia kukamilisha maombi yako ya leseni hadi kupata leseni yako mkuu.
  16. Mr. Purpose

    Account facebook kuwa hacked na kubadilishwa password

    Angechukua tahadhari baada ya kuona muenendo tofauti kwenye account yake. Kama anakumbuka namba ya simu aliyotumia wakati wa kutengeneza account yake tuwasiliane kumsaidia.
  17. Mr. Purpose

    Pata kitabu hiki Bure (Njia 4 za Kutangaza biashara mtandaoni)

    Unaweza download E-Book hii moja kwa moja hapa.
  18. Mr. Purpose

    Pata kitabu hiki Bure (Njia 4 za Kutangaza biashara mtandaoni)

    Zama za kuanzisha biashara na kukaa kusubiria wateja waje, zimepitwa na wakati. Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa sana na una hatarisha biashara nyingi zinazomilikiwa na watu ambao siyo wabunifu hasa katika kutafuta masoko. Nimekuandalia E-Book ambayo itakuonyesha mbinu 4 bora za...
  19. Mr. Purpose

    Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Online uza huduma, bidhaa au kipaji chako. Ukiingia online kutaka mafanikio ya HARAKA ndiyo mwisho unaishia kulalamika hakuna pesa online. Weka malengo ya kueleweka utaweza kuona matokeo. Nenda Google search "Musabskilld" pitia tovuti na pages zote utakazoletewa. Nimekutana na watu na...
  20. Mr. Purpose

    Kusimamia kurasa za biashara yako mtandaoni

    Shukrani mkuu. Nitaendelea kufanya hivyo.
Back
Top Bottom