Search results

  1. PMsechu

    Wife material anahitajika

    Msaniii uyo.
  2. PMsechu

    Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

    Kwa iyo Dr Chen anyamaze kabisa akiona wavuja jasho wakila ela zao mahali.. maana yeye amezichukua tu bure bure..
  3. PMsechu

    Shamba la hekari mbili za mahindi lafyekwa, ni baada ya mkulima kurudia kosa alilofanya mwaka jana

    Kichwa kigumu.. Maandiko yanasema tii mamlaka yaliyowekwa.. hapo wacha ile kwake..
  4. PMsechu

    Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

    Mh Magu ameonekana ni Bora sana ukilinganisha na wana-CCM wenzake Chama kimoja ila mm nafikir tungekubali tukawa demokrasia vumilivu ikawa ni halali wapinzani wenye mawaza tofauti wakatawala inamaana makosa mengi yangekuwa yanarekebishwa sheria kali zingekuwa zinatungwa ili kulinda raslimali za...
  5. PMsechu

    Serikali itafute njia sahihi ya kuwapata wakuu wa shule hasa za sekondari

    Nimepitia comments za watu inaonekana kuna ukwel flan sio bure. Ila jamaa ameushauri serikal aonavyo yeye wakuu wanapatikana kijanja janja..badiliken bn ukwel usemwe tu
  6. PMsechu

    Askofu Gamanywa: Marekani Ndio inaitegemea Israel Kijeshi na Siyo kinyume chake!

    AK47 sio ndio zana zote B52 unajua nan kaileta..?
  7. PMsechu

    Askofu Gamanywa: Marekani Ndio inaitegemea Israel Kijeshi na Siyo kinyume chake!

    Ni kwamba WaIzrael wengi wapo katika technology ya zana za kivita na wamekuwa wakitegemewa sana kuzalisha silaaa.. ila Marekan wao wako na fedha nying sana kuweza kusapoti technologia kuliko Taifa lolote dunian..
  8. PMsechu

    Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

    Kwa iyo mnataka kusema Izrael inauwa wagonjwa na sio Hamas Soldiers eeh.?
  9. PMsechu

    Mkuu wa Wilaya ya Ulanga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lushoto washtakiwa kwa Ukiukwaji wa Maadili

    Ndio mjipange vizur maana mama amesema anataka uchaguz ujao uwe wa uwazi na haki..
  10. PMsechu

    Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

    Mzee hana tatizo kama chumv kashaitumia sana kazidi ata ile ya ahadi ya Bible ata WakimLissu poa tu
  11. PMsechu

    Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Lakini kuwa BBC haina maana mtu atakuwa tofauti na wengine waliowai kuwa katika nafasi zingine tofauti tofauti uko dunia na walivyoondoka uko walikuja na kuwa wa kawaida tu. Mm nafikir ungejishaur au kushaur wengine ambao wanataka kuwa kama yeye Salim sio Salim kuwa zaidi ya kile alichokuwa...
  12. PMsechu

    Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Alafu wanamsaidia nin.. wakati nchi inaendelea kupigwa.?
  13. PMsechu

    Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

    Hawatakubli mzeee Cleopa...
  14. PMsechu

    Nahitaji mume kutoka Arusha au mikoa ya jirani

    Nenda ukumbi wa Safina dada kule utapata aja ya moyo wako..
  15. PMsechu

    Mwanamke ukimwambia ni mzuri na ukampa furaha anakuwa Mzuri

    Mwanaume huwa hafundishwi hayo yote huwa anajikuta tu anafanya kama tu mwanamke anajitambua ila akizingua tu inakula kwake
  16. PMsechu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Lakin kumbuka kuna kufel pia mkuu.. unaweza subir kumbe ni hola..
  17. PMsechu

    Ni wawekezaji au matapeli? Wanachukua bandari zote za Afrika Mashariki kwa mkataba uleule

    Kenya hawawez kukubali huu utopolo alafu wananchi wakatulia ata kama hali uchumi na maisha kwa ujumla ni magumu.
  18. PMsechu

    Hamza Johari na Waziri Mbarawa wafunguliwe mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi

    Kabisa mkuuu uku ni kukosa uzalendo kabisa. .hakuna utanzania hapo... Kwanza tupate Katiba mpya rais apunguziwe madaraka na aondolewe kinga maana na yeye hufanya mambo bila kujali wananachi... ndio tutakuwa Geneva of Afrika vizur
Back
Top Bottom