Search results

  1. Microsoft

    Mahabusu wapelekewa ugali na jack ndani, wafanikiwa kutoroka

    :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::p:p:p
  2. Microsoft

    Utaratibu wa kurejesha magwanda ya Polisi kwa waliofukuzwa kazi ukoje?

    Nimekuja fasta nikajua unayo hayo magwanda uniuzie. :D:D:D:D
  3. Microsoft

    MBEYA: Lori lagonga daladala 3 katika mlima Iwambi. Watu 20 wafariki papo hapo

    Ajali zimeanza tena kuongezeka kwa kasi ya 4G Kuna muda humu kila siku ilikua inaripotiwa tukio la ajali.
  4. Microsoft

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    JF ni zaidi ya addiction.
  5. Microsoft

    Hamisa Mobetto; kwanini Diamond na sio Majizzo?

    Hatuwezi jua ana namba ngapi
  6. Microsoft

    Inakuaje mpenzi anakuficha kitu kwa miaka mingi, je anakua hakuamini?

    Kwaiyo limekugegeda weeeee Sahizi ndio linasema lina mtoto?
  7. Microsoft

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Mahindi ??? Labda kwaajili ya soko la mahindi mabichi. Ngoja waje watakupa mchanganuo. Mbona uandishi wako kama vile.....
  8. Microsoft

    Tupeane mbinu ni jinsi gani Watu wa Mitandaoni wanakamatwa kirahisi kama Kuku na Mamlaka

    Watanzania wengi hawana habari na teknolojia. Na wavivu kujifunza,Teknolojia imekua na inakua sana Kukupata siku hizi simple tu. Na bila kusahau..... Tanzania na Israel zasaini mkataba(MoU) wa ushirikiano wa Kijeshi na Kiintelijensia " Mkataba huo utajumuisha vipengele vikuu ambavyo ni...
  9. Microsoft

    Hivi hili wazo lina kasoro gani wakuu?

    Mawazo mazuri tatizo wenye mamlaka.
  10. Microsoft

    Sheikh Mbonde alivyojipanga kutumia mamilioni Babu Tale akae jela

    Kumbe jela watu wanakula breakfast ya buku 7?? Sio mchezo.
  11. Microsoft

    MWANZA: Jambazi aliyepora gari aina ya Toyota Kluger na TZS 9 Milioni apigwa risasi na Polisi na kufariki papo hapo

    Piga tu risasi hayo majambazi. Ukiwa jambazi kuua simple sana So na kufa iwe simple. Piga shaba tu.
  12. Microsoft

    Dar, Tegeta: Ng'ombe zaidi ya 15 wakutwa wamekufa kwenye gari, washaanza kutoa harufu

    Acha wale vibudu.. Wameshaozea Alafu wazee wa vilemba wanapenda pilau nyama hatari
  13. Microsoft

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese uzuri

    Mkuu hizo picha zimepigwa siku kuna mvua na ardhi unaiona mbichi. Mtu ambaye nyumba yake inakumbwa na mafuriko hawezi kamwe kutangaza kuuza nyumba sahizi mvua zinanyesha maana ataaibika. Wateja serious waje waione wenyewe.
  14. Microsoft

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese uzuri

    Ndio unatosha. Picha ya tano hapo katika nguzo ndo uchochoro na uki zoom iyo Taa inayowaka ndio barabarani.
  15. Microsoft

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese uzuri

    Ndio unatosha. Picha ya tano hapo katika nguzo ndo uchochoro na uki zoom iyo Taa inayowaka ndio barabarani.
Back
Top Bottom