Search results

  1. Y

    Polisi Tanzania tuache kujidhalilisha kitaaluma

    Kuna vitendo vingine vinafanywa na polisi wa Tanzania ambavyo vinalidhalilisha jeshi hilo. Ukiangazia kuhusu ajali ya lori la mafuta ya petrol iliyotokea hapa morogoro juzi kwenye eneo ambalo liko umbali wa takribani Km 1 kutoka kituo kikuu cha polisi mjini hapa, unaweza kubaini uzembe wa...
  2. Y

    Msaada wa kuelekezwa zilipo ofisi za PSPF mkoa wa Dar

    Jamani wana JF wenzangu, naomba kufahamishwa zilipo offisi za PSPF hapa Dar.
  3. Y

    Vita ya uchumi baina ya Tanzania na Canada imekolea ukitaka kushinda vita, pigana vita

    Je,Lissu amewahi kushirikishwa katika Tume zinazoundwa kila Leo na serikali akakataa kuwa sehemu ya kutafuta suruhu ya mikataba mibovu? Na Je unauhakika kabisa Tundu hajawahi kutoa ushauri Elekezi kuhusu namna ya kujinasua katika mikataba hii mibovu dhidi ya wawekezaji? Tatizo ni kwamba...
  4. Y

    CCM wamebadili "gear" angani

    Nimeshangazwa kuona wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi kubadili matumizi ya neno " Mchochezi" kwa mtu anayesema ukweli kuhusu serikali hadi kuanza kitumia neno " Si Mzalendo" Baada ya Tukio la Ndege aina ya Bombardier Q 400 kushikiliwa huko nchini Canada ambako ilikuwa ikitengenezwa. Sent...
  5. Y

    Onyo kali kwa vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu nchini Tanzania!!

    Nawashauri vijana wote mliomaliza kidato cha sita au Diploma , msikiombe chuo cha taifa cha usafilishaji yaani NIT cha hapa mabibo Dar es salaam kwani kwa atakayejichanganya kufanya hivyo atajuta maishani mwake mwote. Matazizo ya NIT ni kama ifuatavyo: 1) Elimu hafifu kuliko kawaida...
  6. Y

    TAKUKURU ikichunguze chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)

    Mambo yanayoendelea katika chuo hiki toka mwakajuzi ni ya kusikitisha sana, chuo hakiwapi wanafunzi fedha zao za mikopo kwa wakati, imefikia sasa hivi wanawasainisha pesa halafu hawa wapi wanawaambia zimerudi bodi ya mikopo kimakosa. Jambo jingine kuhusu pesa za wanafunzi za mafunzo chuo...
  7. Y

    Msaada maswali haya ya interviews

    Mimi ni technician Wa maswala ya umeme Jana nimekutana na maswali haya kwenye interview, naomba mnielekeze na ya kuyajibu kwa mwenye uzoefu: 1) what is your attributions towards the company? 2) why do we hire you? 3)What contribution wili you bring out to our company if it happen you have...
  8. Y

    Tujadiliane hili wakuu mie linanichanganya!

    Mwanzoni baada ya Daudi Albert Bashite kubainika kuwa anatumia vyeti ya mtu mwingine anayeitwa Paul Christiani M, ambapo aliiomba mahakama aape kubadili hiyo M kwenye jina hilo na kuwa Makonda, yaani aitwe Paul Christian Makonda, watu walisema Daudi Albert Bashite achukuliwe hatua kwa...
  9. Y

    Rufaa ya ya kupinga kunyongwa bwana christopha bageni

    Wakuu poleni na majukumu, Mimi ni mmoja wa wafuatiliaji wa kesi ya akina Abdalah Zombe na mwenzake Christopher Bageni waliotenda kosa la kuwa ua wafanyabiashara wa Madini ya rubbi katika msitu wa pande mnamo tarehe 14 January 2006.katika kesi hiyo mwaka 2009 watuhumiwa wote katika kesi hiyo...
Back
Top Bottom