Msaada maswali haya ya interviews

yusuphfrancis

JF-Expert Member
Oct 26, 2016
433
361
Mimi ni technician Wa maswala ya umeme Jana nimekutana na maswali haya kwenye interview, naomba mnielekeze na ya kuyajibu kwa mwenye uzoefu:

1) what is your attributions towards the company?

2) why do we hire you?

3)What contribution wili you bring out to our company if it happen you have selected to join our team?

4) why are you here?

5) mention 5 functions and values of TANESCO ?

6) state the weakness of the TANESCO distribution line and state the measures to be taken to minimize these weakness

Anayejua mojawapo au yote anisaide
 
Mbona hapa mkuu hakuna technical questions hata moja la kupewa msaada

Leta maswali ya kiufundi zaidi ili upewe msaada, ukiwa na swali la kiufundi naomba uni tag
 
Haya Maswali ni simple sana...Yanajibika na mtu yeyote.
Ninachokiona huna uelewa wa kutosha juu ya hiyo lugha iliyotumika.

Ila ni Maswali mazuri sana, Mimi binafsi nimeshawahi kukutana nayo kwenye Oral Interview.
 
Mimi ni technician Wa maswala ya umeme Jana nimekutana na maswali haya kwenye interview, naomba mnielekeze na ya kuyajibu kwa mwenye uzoefu:

1) what is your attributions towards the company?

2) why do we hire you?

3)What contribution wili you bring out to our company if it happen you have selected to join our team?

4) why are you here?

5) mention 5 functions and values of TANESCO ?

6) state the weakness of the TANESCO distribution line and state the measures to be taken to minimize these weakness

Anayejua mojawapo au yote anisaide
Baadhi ya majibu utayapata hapa
 
Watu tunatofautiana jamaa yeye yamemzidi kimo ndio maana anataka mumusaidie kwa kuweka majibu ya hayo maswali hapa.

Haya Maswali ni simple sana...Yanajibika na mtu yeyote.
Ninachokiona huna uelewa wa kutosha juu ya hiyo lugha iliyotumika.

Ila ni Maswali mazuri sana, Mimi binafsi nimeshawahi kukutana nayo kwenye Oral Interview.
 
Haya Maswali ni simple sana...Yanajibika na mtu yeyote.
Ninachokiona huna uelewa wa kutosha juu ya hiyo lugha iliyotumika.

Ila ni Maswali mazuri sana, Mimi binafsi nimeshawahi kukutana nayo kwenye Oral Interview.

Wabongo bwana yeye haitaji kumwambia Maswali ni simple au tough yeye shida yake majibu ya maswali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom