Search results

  1. Bexb

    KWA WENYE KAMPUNI (WAKURUGENZI NA MAKATIBU WA KAMPUNI)

    Ushauri kwa wale waliosajili kampuni mpya kuanzia mwezi juni 2023 na unaona kuwa hali yako ya kiuchumi haikuruhusu kufanya hayo mahesabu ama hujaanza biashara ama hukufanya biashara kwa mwaka 2023 basi nashauri uweze kuandika barua kwenda ofisi yako ya TRA kuwaomba kuwa unatarajia kuwasilisha...
  2. Bexb

    KWA WENYE KAMPUNI (WAKURUGENZI NA MAKATIBU WA KAMPUNI)

    Habari ya wakati huu wakuu. Nimerudi tena ili tuweze kukumbushana baadhi ya mambo ambayo ni muhimu katika uendeshaji wa kampuni zetu Kufikia leo tarehe 4 mei tumebakiwa na takribani siku 57 kuwasilisha ritani ya mahesabu ya mwaka ya kampuni yaani Annual Audited Financial Statement ambayo ukomo...
  3. Bexb

    Vyakula vipi umekula pindi umepigika vilivyo?

    Niliwahi kula mihogo hadi ilifika hatua nikisikia harufu yake napata kichefuchefu. Hapo budget yangu kwa siku haikutakiwa kizidi buku na ikiwezekana iwe chini ya hapo. So chakula cha kujaza tumbo cha haraka na nafuu ilikua ni mihogo. Mida ya saa tano napata mihogo ya mia tano na kachumbali...
  4. Bexb

    msaada jinsi ya kusajili biashara ,leseni pamoja na gharama zake

    Habari. ENDAPO UTAANZA KAMA MTU BINAFSI. Utatakiwa kuwa na TIN ya biashara na endapo una TIN ambayo haikua ya biashara badi utatakiwa kwenda TRA kuibadili iwe ya biashara. Endapo TIN yako uliichukulia wilaya X na sasa unataka kufanya biashara katika wilaya Y basi utapaswa kuihamisha TIN hiyo ije...
  5. Bexb

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Na ndio maana walipewa mafunzo na elimu lakini pia walipata mda wa kutafakari kisha wameambiwa wachague. Uzuri watu waliokuwepo nyakati za kuanzishwq kwa TICTS wapo so wanaweza kupata somo.
  6. Bexb

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Katika utumishi wa umma haya ni masuala ya kawaida, kama anaona hawezi aende tu DPW aendelee kula shushu mjini hapa
  7. Bexb

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Hawataguswa kwa maana ya kwamba wataendelea kuwa watumishi wa serikalini. Halafu bandari sio Dar tu. Kuna bandari ndogo lakini ni muhimu sana
  8. Bexb

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Kwa mujibu wa mafunzo yaliyotolewa wakati wa elimu ni kuwa hicho kitu hakuna. Ni either ubaki serikalini au uende DPW. Yaani ukiacha serikalini basi unapelekwa moja kwa moja DPW bila hata interview lakini huko DPW utapimwa kulingana na kazi yako na taratibu zao kwani ni private sector
  9. Bexb

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Mkuu mbona tangazo lipo wazi au mimi ndio sielewi? Huwezi kuwa mtumishi wa serikali halafu hapo hapo ukawa mtumishi wa DPW. Mumishi anachagua abaki TOA au aende DPW na huo ndio utaratibu na hao watumishi wamepewa elimu na muda wa kuchakata suala hili tangu mapema sana. Kwa ninachofahu na...
  10. Bexb

    Naomba msaada kwa aliyewahi kusajili Mradi TIC

    Habari ya jumapili wakuu. Naomba msaada wa maelekezo toka kwa mtu aliyewahi kusajili mradi chini ya Tanzania Investment Centre (TIC). Ninahitaji kujifunza jambo kwa uhalisia wake hasa katika maandalizi ya nyaraka zinazohitajika.
  11. Bexb

    JamiiForums Usiku wa manane

    0320
  12. Bexb

    Naomba muongozo, nahitaji kufungua kampuni ya general cleaning nahitajika kuwa na mtaji wa shingap

    Habari mkuu, ukihitaji kusajili kampuni na ukahitaji usaidizi karibu tukuhudumie. Tutakamilisha usajili wa kampuni ndani ya siku mbili pekee, tutakushauri masuala yote ya kodi yanayohusu makampuni. Karibu sana 0755963775 calls/WhatsApp
  13. Bexb

    Kubadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni

    Kwa practice TRA hawatajubali kuibadilisha hiyo biashara hadi either uwalipe au uwape mpango wa kulipa deni lako la TIN binafsi. Kimsingi hizo ni biashara mbili tofauti lakini ukiibadilisha kuwa kampuni inamaanisha kuwa ni 'upgrade' so kuna uhusiano mkubwa na TIN binafsi. Fika ofisi yako ya TRA...
  14. Bexb

    Niliyowahi kuyatabiri kuhusu wafanyakazi wa Bandari naona yanaanza kutimia

    Hata hiyo jana waliyokua wanadai kuna mgomo nikabaki najiuliza. Nadhani mbali na masuala mengineyo, kuna kikundi maalumu cha propaganda kuhusu hali ya bandari na sijui dhumuni ni nini hasa. Nadhani kuna watu wanabeba hizo propaganda pasipo kujua ili mradi anaona limesambaa nae anasambaza.
  15. Bexb

    Niliyowahi kuyatabiri kuhusu wafanyakazi wa Bandari naona yanaanza kutimia

    Jamani hivi hixi habari zinatola wapi? Mbona huko bandari hao wafanyakazi waajiriwa wanaendelea na training toka kwa hoyo DPW?
  16. Bexb

    Maji salama ya kunywa, Tunafunga na kuuza water purifier kwa bei nzuri

    Ushauri wangu: Napenda upunguze ukubwa wa insha yako na ungejikita juu ya kuitambulisha bidhaa yako yaani; 1. Wewe ni nani na unatokea taasisi gani. 2. Bidhaa yako ni nini na inafanya kazi zipi 3. Uwezo wa bidhaa kurekebisha maji 4. Gharama za kuuza hiyo bidhaa yako 5. Baadhi ya picha na...
Back
Top Bottom