Search results

  1. Uswiss

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Vp mzee.. tupe mrejesho
  2. Uswiss

    Mtoto wa Yoweri Museveni kuwa Rais huko Uganda? Mvua huanza na mawingu

    As ugandans we say.. when we meet Museveni we knew that he is a fool but we didn't know he is stupid too .
  3. Uswiss

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    " the time is always right to do what is right" ~ Martin luther king
  4. Uswiss

    Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Double kick a.k.a portable cane spirit ukimaliza vile vichupa viwili alafu utembee juani lazima damu zitoke puani.
  5. Uswiss

    Mhadhiri wa Chuo cha uhasibu Arusha Asimamishwa kazi kisa Rushwa ya Ngono

    Dah!! Ila alikua poa sana huyu jamaa somo lake watu tulikua tunajipgia tu hakua mnoko.. Kanifundisha mim mwaka 2016.. Tena alikua na msemo wake anapenda kuusema " common sense is not for most common people" sasa sijui imekuaje tena lecture wetu kazingua
  6. Uswiss

    Mjane ananipenda sana

    Tambua thamani yako kijana sio kila mwanamke ni wa kupita nae... Play safe and watch your steps
  7. Uswiss

    Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

    Lazima awatetemeshe kidogo ili mjue Raisi anaingia.
  8. Uswiss

    Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

    Aisee! Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu.. Hatimaye leo kameondoka kenyewe kanadai kakilala hapa katachelewa kanisani kesho.. Japokua kamenuna kanalalamika kwa nini nilikua nakafukuza..
  9. Uswiss

    Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

    Shida ni nipo nasoma chuo na kufanya kazi so naona kuanza kuisha na mwanamke tutasumbua tu na kuchanganyana akili.. So lengo langu awe anakuja weekend tu na kuondoka na sio kuja na kukaa week nzima au mwezi atanichosha akili na mwili
  10. Uswiss

    Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

    toka juzi kanuna kuondoka hataki na mzigo hataki kutoa analamika kwa nin namfukuza wakat nilimwambia nampenda..
  11. Uswiss

    Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

    Moto nampelekea mwingi tu mpaka anakilimbiliaga kulala sebuleni.. Sema tu nataka nimuondoe kwa amani ili siku nyingine nikimwita aje.. nitakua namalizana nae lodge.
  12. Uswiss

    Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

    Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi. Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza. Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje Jumamapili...
  13. Uswiss

    Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako

    Tulikutana kwenye kivuko cha kigamboni miaka saba iliyopita.. Mda mwingine huwa tunaachana kila mtu anafanya mambo yake. lakin huwa tukionana hata kwa bahata mbaya lazima turudiane.
  14. Uswiss

    Wito kwa Job Ndugai: Kujiuzulu Uspika haitoshi, ngoma bado mbichi

    Wakimnyang'anya na sisi wana kongwa huku tutachagua mbunge wa chadema au CUF tuone nani mjanja
  15. Uswiss

    Wito kwa Job Ndugai: Kujiuzulu Uspika haitoshi, ngoma bado mbichi

    Acha roho mbaya wew.. Unataka mwenzio akale wap?
Back
Top Bottom