Search results

  1. I

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Mie nimeomba nielekezwe wapi naweza pata hizo majani ya chai.hayo ya jogging,maji ya moto sio ninachokitaka.
  2. I

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Wakuu naomba kujua wapi naweza kupata majani ya chai kwa ajili ya kupunguza kitambi. nasikia kuna chai za kichina ukinywa tumbo linapungua. nipo jijini dsm.
  3. I

    Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

    magereza pamejaa?
  4. I

    Kula Chakula nyumbani.

    Mkeo anaonesha upendo kwako kwa kukupikia na anafanya hivyo toka moyoni kwake,sasa usipokula amini utamuumiza sana
  5. I

    Elections 2010 Kambi ya mtaka urais 2015 yasambaratika

    I'm tired of hearing how these crew sabotages our country. It's high time now for the president to take an actions.
  6. I

    hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    naona mwala nami naomba kujiunga jamvini
  7. I

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    mzee kweli kaamua.atanunua wapiga kura nchi nzima 2015
  8. I

    Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

    pole sana ila sidhani kama mfumo waruhusu hili
  9. I

    List of top universities & colleges in Tanzania 2011

    nani katoa hii list? wewe au serikali
  10. I

    Hivi NCC inatambulika?

    wanachakachua elimu hao najua diploma ni miaka miwili waliosoma mwaka watakuwa weupe sana
  11. I

    Hivi sisi watanzania ni waoga, wajinga au tumelogwa?

    hujawahi ona konda na dereva wakipigwa kwa kukatisha ruti? au konda akichezea kichapon cha wanafunzi? tangazo la machinga lina uhusiano upi na uhalisia?
  12. I

    Babu loliondo atabiri kufa jumatatu ya pasaka

    mwambie babu kuwa apige kikombe kimoja atakuwa safi
  13. I

    jamani nisaidieni

    pole sana mkuu,ila ndoa yatakiwa nyie wawili ndio mnatakiwa kuwa msingi wa mahusiano yenu wazazi wakiingilia mmekwisha
  14. I

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    jana tumepata kipa n lehnman ataokoa jahazi
  15. I

    hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    wadau wa JF napiga hodi naomba nifunguliwe mlango
Back
Top Bottom