Search results

  1. johnlowasa

    Mwisho wa kulipia kodi ya majengo na ardhi ni lini?

    Hivi wandugu kodi anayozungumzia Mh. Lukuvi ni ipi ni ya Majengo au Ardhi kwa maana tarehe ndio zimeshafikia mwisho msaada wa kujua ni ipi kati ya hizo mbili mheshimiwa alisisitiza tulipe na mwisho ni tarehe 30 mwezi huu wa 5.
  2. johnlowasa

    Siku ya kwanza

    Siku ya kwanza kupanda ndege ulijiskiaje?
  3. johnlowasa

    Wezeshasasa.com

    Nimewaelewa sana hawa vijana waliofanya hiki kitu ubunifu mzuri sana hongera kwenu www.wezeshasasa.com
  4. johnlowasa

    Nahitaji muwekezaji kwenye Biashara

    Nina idea ya biashara nahitaji mshirika na muwekezaji kulifanikisha hili ni wapi naweza kupata msaada tafadhali
  5. johnlowasa

    Je, hapo mtoto ameathirika au alipewa kinga?

    Wataalamu naomba mnifafanulie hapo picha ndio hiyo
  6. johnlowasa

    Msaada kuhusu kipengele hiki kwenye maambukizi ya mtoto

    Naomba kujua kwa kipande hiki cha picha je mtoto hapo anakuwa ameathirika au sijaelewa vizuri msaada
  7. johnlowasa

    Nauza iphone 7

    Nauza iphone yangu ni iphone 7 32gb bei 1milion ipo vizuri ina kila kitu chake location mbeya
  8. johnlowasa

    Vijana wa kitanzania waishio china na madawa ya kulevya

    Vijana wengi wa kitanzania wanaoishi china na wengi wanaofanya safar zao mara kwa mara wana utajiri wa ghafla na mkubwa vijana wanamiliki acc za usd hapa mjini na zenye mzigo/pesa za kutosha na maduka ya nguo skuizi wanakimbilia kufungua car wash na wengine bar za kisasa kabisa wengi wanakuwa...
  9. johnlowasa

    Utajiri wa vijana wa kitanzania wanaoishi china

    Vijana wengi wa kitanzania wanaoishi china na wengi wanaofanya safar zao mara kwa mara wana utajiri wa ghafla na mkubwa vijana wanamiliki acc za usd hapa mjini na zenye mzigo/pesa za kutosha na maduka ya nguo skuizi wanakimbilia kufungua car wash na wengine bar za kisasa kabisa wengi wanakuwa...
  10. johnlowasa

    Kuhakiki TIN number

    Naomba kuuliza nimechukulia tin no yangu dar es salaam ni ya lesen ya udereva na hivi sasa nipo mkoani kikazi je naweza kusubiri zoezi hili likianza mikoani na kuweza kuhakiki
  11. johnlowasa

    Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

    Basi hilo linalofanya safar zake Dar-Mbeya limepata ajali maeneo ya chalinze kwa kugonga gari ndogo kwa nyuma ambapo gari ndogo haipo pichani ilisimamishwa na trafiki ndipo basi likamgonga kwa nyuma abiria baadhi wamepata michubuko na hakuna aliyepoteza maisha abiria wanasuburi basi lingine ili...
  12. johnlowasa

    Nahitaji kusafirisha pikipiki

    Nahitaji msaada, nawezaje au naanzaje kuisafirisha boda boda iliyopo Dar kuja Mbeya (sio Mbeya kabisa bali kabla ya Mbeya). Mimi nipo huku nahitaji kujua kuna kampuni gani inaweza nisafirishia au gharama au mwana jamiiforum anayekuja Mbeya siku za karibuni basi tuwasiliane.
  13. johnlowasa

    Tangu nimuone mara ya kwanza hajawahi badili nguo

    Tangu nimefika hapa chima mkoa wa mby nimefikia lodge moja kisha nikaonyeshwa mmiliki wa hiyo lodge ni mbaba mwenye umri kati ya 35-40 ila tangu nimuone siku ya kwanza hadi namaliza wiki pale kila nimuonapo yuko na same cloth na ni maarufu sehemu hiyo kwa kuwa na maduka na anamiliki mashamba na...
  14. johnlowasa

    Mfano wa kuigwa

    Ndugu zangu huyu ni mtoto john wa chimala mbeya anaandaa bustan ya kupanda mahindi ki ukweli ni kwamba kwa hapo baadae hawez pata shida kwenye swala la kilimo tuwajenge watoto zetu kama mtoto huyu hata kwa bustan ndogo majumbani hakika ni kwa faida yao
  15. johnlowasa

    Visa ya israel

    Nimeangalia taarifa ya habari ya itv nimeona ofisi ya ubalozi wa israel imefunguliwa rasmi leo na balozi wa israel ameahid kwa kutokukosa visa kwa mtanzania anayeomba na amesema waranzania wengi wapo israel swali langu kwenu ndugu zangu huko israel kuna fursa gani na kwa watanzania mlio huko...
Back
Top Bottom