johnlowasa
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 121
- 76
Naomba kujua kwa kipande hiki cha picha je mtoto hapo anakuwa ameathirika au sijaelewa vizuri msaada
Kwenye hiyo je mtoto amepewa Arv means amepewa kwa ajilii ya kinga au msaada mwenye kufahamuNaomba kujua kwa kipande hiki cha picha je mtoto hapo anakuwa ameathirika au sijaelewa vizuri msaada
Umeiweka vizuri mkuu tusubiri wataalamu sasaHii thread muhimu sana. Tunaomba wenye ujuzi wa haya mambo waje watusaidie. Ila kwa ufahamu wangu ni kuwa kwa kuwa mama ni muathirika basi mtoto anapewa hiyo dawa ili kusuppress virus in case kama walipenya kwa ntoto wakati wa kujifungua. Hiyo.humuweka salama mtoto. Ni sawa na ile dawa anayopewa mtu ndani ya masaa 72 baada ya kuwa exposed kwenye mazingira hatarishi ya kupata HIV. I stand to be corrected.
Sio kwamba mtoto anakuwa ameathirika kwa ufahamu wangu mtoto anakua exposed ndio mana anapewa hiyo dawa kama kinga yan inakua kama pep tu tena anapewa for 42days,ili kujua kama ameathirika ama la ni mpaka afanye kipimo kinaitwa DBS mara 2,cha kwanza akiwa na miez6 na kipimo cha pili akiwa na miez 18,kama vyote vitakuja na majibu ya +ve basi atakua ameathirika na ataendelea na ARV's kama kawaida...Naomba kujua kwa kipande hiki cha picha je mtoto hapo anakuwa ameathirika au sijaelewa vizuri msaada
anapewa dawa inaitwa niverapine syrup na ni kwa muda wa siku 28Sio kwamba mtoto anakuwa ameathirika kwa ufahamu wangu mtoto anakua exposed ndio mana anapewa hiyo dawa kama kinga yan inakua kama pep tu tena anapewa for 42days,ili kujua kama ameathirika ama la ni mpaka afanye kipimo kinaitwa DBS mara 2,cha kwanza akiwa na miez6 na kipimo cha pili akiwa na miez 18,kama vyote vitakuja na majibu ya +ve basi atakua ameathirika na ataendelea na ARV's kama kawaida...
Ndiyo dawa wanayopewa watoto ambao wako exposed,mliambiwa mrudi tena hospital?na ni baada ya mda gan?anapewa dawa inaitwa niverapine syrup na ni kwa muda wa siku 28
Nkiangalia hyo report japo iko nusu doctor kazungushia PMTCT(Prevention of Mother to Child Transmissions)...sasa kuna mawili mkuu siwezi kusema mama ameathirika au laa cuz medicine is all about diagnosis..Naomba kujua kwa kipande hiki cha picha je mtoto hapo anakuwa ameathirika au sijaelewa vizuri msaada
Maelezo mazur ila mkuu samahan kama umeangalia vzuri hapo palipozungushiwa pameandika pmtct1,lakini pia inawezekanaje kumpa mtoto nevirapine kama mama hana maambukizi?nafikir kuna huduma ya kupma kabla ya kujifungua,ss hapo pakutoa dawa sehem ambayo maambukizi yako juu nmeshindwa kuelewa naomba ufafanuzNkiangalia hyo report japo iko nusu doctor kazungushia PMTCT(Prevention of Mother to Child Transmissions)...sasa kuna mawili mkuu siwezi kusema mama ameathirika au laa cuz medicine is all about diagnosis..
Assumptions
1. Kama mama alipimwa na akakutwa na VVU basi mtoto amepewa hizo ARV's kumkinga mpaka pale atakapo acha breast feeding ( sina uhakika kama mama ameathirika au laa mpaka vipimo)
2.Siku hizi madaktari wanafanya kitu kinaitwa PPHP yaan sehemu zilizo prone to HIV wanamkinga mtoto yeyote anapozaliwa...kwanini??.... kwasababu dispensaries na health centre zetu hizi na hata hospital za wilaya na mikoa haziwezi kupima instant presence of HIV mapaka baada ya at least miezi 3 ndipo watakapo tambua uwepo wa maambukizi sasa kwasababu hii wanaassume either inawezekana mama kaambukizwa hivi karibuni hvyo wanaondoa ile possibility ndogo ya mama kumuambukiza mtoto..
Note: Mkuu hiyo report haitoi maandishi ya DXs kuwepo kwa maambukizi bali inaonyesha PMTCT procedures sasa fika hospital kwa msaada zaidi
Mkuu Nevirapine ni NNRTI sawa kabsa ila sasa hv pre and post natal HIV prevention(pphp) inafanyika kwa njia kadha wa kadha kwenye area prone to the very problem...by the way kule juu nmemueleza PMTCT in general ila nmeona wameandika PMTCT 1 i know what's up refer med-ethics mkuu hilo ni swala na daktari wake kumake conclusions on such complex matters hatujui aliambiwa nn...ndio maana sijapenda kua msemaji kuhusu mama ila mtoto ambayo we might say in general afya yake hahaha!Maelezo mazur ila mkuu samahan kama umeangalia vzuri hapo palipozungushiwa pameandika pmtct1,lakini pia inawezekanaje kumpa mtoto nevirapine kama mama hana maambukizi?nafikir kuna huduma ya kupma kabla ya kujifungua,ss hapo pakutoa dawa sehem ambayo maambukizi yako juu nmeshindwa kuelewa naomba ufafanuz
Nimekupata,shukran kwa ufafanuziMkuu Nevirapine ni NNRTI sawa kabsa ila sasa hv pre and post natal HIV prevention(pphp) inafanyika kwa njia kadha wa kadha kwenye area prone to the very problem...by the way kule juu nmemueleza PMTCT in general ila nmeona wameandika PMTCT 1 i know what's up refer med-ethics mkuu hilo ni swala na daktari wake kumake conclusions on such complex matters hatujui aliambiwa nn...ndio maana sijapenda kua msemaji kuhusu mama ila mtoto ambayo we might say in general afya yake hahaha!
Nadhani unaipata point yangu ya kutozungumzia afya ya mama kwenye hyo report