johnlowasa
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 121
- 76
Tangu nimefika hapa chima mkoa wa mby nimefikia lodge moja kisha nikaonyeshwa mmiliki wa hiyo lodge ni mbaba mwenye umri kati ya 35-40 ila tangu nimuone siku ya kwanza hadi namaliza wiki pale kila nimuonapo yuko na same cloth na ni maarufu sehemu hiyo kwa kuwa na maduka na anamiliki mashamba na kwangu namchukulia mtu ambaye ameshajikwamua si mtu maskini ila kuvaa kwake nguo hiyo hiyo moja ndio swali langu inaingia akilini kweli?