johnlowasa
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 121
- 76
Wataalamu naomba mnifafanulie hapo picha ndio hiyo
Mtoto hawezi kuathirika maana wame observe PMTCT (Prevention Of Mother To Child Transmission ) labda kama walizembea na huwezi kugundua hilo kwa sasa hata ukimpima mtoto huwezi kupata jibu sahihi mpaka baada ya miezi sita ila hapo ameshapewa kinga mtoto.Wataalamu naomba mnifafanulie hapo picha ndio hiyo
maana yake ni kwamba mtoto amezaliwa na mama Mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi hivyo anatambulika kama exposed to HIV na hapo anapewa dawa iitwayo Niverapine syrup ambayo ni ARVs ili kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi kutoka mama yakeWataalamu naomba mnifafanulie hapo picha ndio hiyo