johnlowasa
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 121
- 76
Naomba kuuliza nimechukulia tin no yangu dar es salaam ni ya lesen ya udereva na hivi sasa nipo mkoani kikazi je naweza kusubiri zoezi hili likianza mikoani na kuweza kuhakiki
AiseYaani umejimaliza Mwenyewe hutoweza tena Kulipa Kodi! Utapata dhambi nyingi sana
Kuna Taarifa Nimesikia kuwa Nuhu wa Safina alizaliwa na Wazazi Weusi na yeye akazaliwa Albino aliogopesha jamii wakajua ni mtoto wa malaika waliashuka duniani baba yake hakuamini kama ni mtoto wake ila Babu yake Noah akaenda kumuuliza Mungu... Jambo hili sikulijua kabla na Vitabu vya Dini vimehadithia.. Tuwaheshimuni Albino kumbe wana siri nzito
Tatizo la kuchanganya kimombo na kiswahiliSiyo TIN number sema tu TIN inatosha,unaposema TIN Number ni sawa na kusema barabara ya Morogoro road
Hili zoezi haliwezi kuwa na mwisho hasa kwa watu mabao sio wafanyabiashara.Nasikia wameongeza kwa dar mpaka tarehe 14 February
Tafuta mtu aliyeko Dar aende ofisi za TRA za Mkoa ulipopata TIN aonane na wahusika ili waihamishe hiyo TIN huko ulikohamia,kulikuwa na utaratibu wa kuandika barua kuomba kuhamisha,kwa sasa sijui kama huo utaratibu bado unaendeleaNaomba kuuliza nimechukulia tin no yangu dar es salaam ni ya lesen ya udereva na hivi sasa nipo mkoani kikazi je naweza kusubiri zoezi hili likianza mikoani na kuweza kuhakiki