johnlowasa
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 121
- 76
Vijana wengi wa kitanzania wanaoishi china na wengi wanaofanya safar zao mara kwa mara wana utajiri wa ghafla na mkubwa vijana wanamiliki acc za usd hapa mjini na zenye mzigo/pesa za kutosha na maduka ya nguo skuizi wanakimbilia kufungua car wash na wengine bar za kisasa kabisa wengi wanakuwa ndani ya kampuni au chini ya watu wanaosadikiwa kuwa ni mapapa na wanawatumia kwa umri wao wanakuwa wanaishi china kisha vidada vibinti vinaafilishwa na wao ndio wanawapokea kisha kusambaza mzigo vijana wengi wa kike wanaishia kukamtwaa acha tu kampeni hii ipambe moto maana imefika wakati vijana nao wanapata tamaa kuona mafanikio ya wenzao na wasione madhara yake hadi wanapopata matatizo