UONGOZI WA SHULE YA AZIMIO DODOMA AMBAYO IMEJIPATIA UMAARUFU KWA KUCHAPA VIBOKO WANAFUNZI,
IMEWAFUKUZA SHULE WANAFUNZI WAFUATAO KWA KUWAKAMATA NA SIMU CHOONI WAKATI WA USIKU,na uongozi wa shule ulizivunja simu hizzo.MBELE YA MKUTANO WA WAZAZI.
lea amosi
zawadi mkola
veronika john
SHULE YA AZIMIO SEC YA MJINI DODOMA AMBAYO IMEJIZOLEA UMAARUFU KWA KUCHAPA WANAFUNZI VIBOKO MPAKA 48,NA KUPIGA NGUMI WANAFUNZI,MKURUGENZI WA SHULE HIYO AMEBUNI MRADI WA KUWALAZIMISHA WANAFUNZI WAKE KUNUNUA MABEGI YA DAFTARI,VIATU A UNIFORM KUZIPATA HAPO KWAKE KWA LAZIMA,kama huna hela...
Boniface Maana, Tunduru na Felix Mwagara
UFISADI unaoonyesha kuwa zaidi ya Sh48 bilioni zimetafunwa na wajanja umeendelea kulitikisa taifa baada ya kampuni za kigeni kufungua kesi zikidai fidia ya Sh3 trilioni za fidia kutoka kwa wanunuzi wa pamba kwa kushindwa kutimiza masharti ya...
Wakat nikiwa form three kama si form four huko kipoke sec,nilifndishwa jinsi kiumbe mdudu anavyokua,nikacholewa na GRAPH YAKE NI KAMA NGAZI VILE,HAPA NAOMBA MAELEZO KITAALAMU,na kwanini kujivua GAMBA???
NYOKA AKITOA GAMBA HAFI BALI LINAOTA JINGINE
BAADHI YA WANAFUNZI wa shule ya secondary ya azimio wilayani dodoma mjini,iliyopo kata ya miyuji mtaa wa mathiasi,ambayo imejijengea umaarufu kwa kuzalisha div 3 TU KATIKA MATOKEO YA iv and ZERO ZA KUTOSHA ,
jANA MKURUGENZI WA SHULE HIYO MH KAMBI PAMOJA NA WALIMU WAKE, AMBAYE ALIKATAA...
Jamani nimefatilia kwa umakini zaidi,kwamba vijana walitoa mapendekezo yao ya hela ya special faculty mbele ya waziri mkuu ambayo yalikuwa ni laki tatu na nusu,baada ya hapo waziri mkuu akawambia kuwa bila komputa mtakuwa hamjafanya chochote na ikumbukwe udom ina andaliwa kuwa center ya it east...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.