Dozi ya viboko yaanza Dodoma shule za binafsi, kuanzia 9-33

lubangojoshua

Member
Mar 9, 2011
11
0
BAADHI YA WANAFUNZI wa shule ya secondary ya azimio wilayani dodoma mjini,iliyopo kata ya miyuji mtaa wa mathiasi,ambayo imejijengea umaarufu kwa kuzalisha div 3 TU KATIKA MATOKEO YA iv and ZERO ZA KUTOSHA ,
jANA MKURUGENZI WA SHULE HIYO MH KAMBI PAMOJA NA WALIMU WAKE, AMBAYE ALIKATAA AJIRA YA SERIKALI NA KUAMUA KUFUDISha shule binafsi,jana wali waangushia KIPIGO KIKALI baadhi ya wanafunzi ambao SARE ZAO ZA, suruali AMBAZO hazikuwa na MALINDA VIBOKO kuanzia 9 na kuendelea,ila mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu yEye aliONJA KALI YA MWAKA HUU KWA KUCHAPWA viboko 35 ,
awali ya yote sare hizo zilishonwa hapo SHULENI KWA GHARAMA YA 20000 KWA KILA MWANAFNZI, ila kutokana na mkurugenzi huyo kuwa mchungu KAMA AROVELA kwEnye hela, mafundi HAO walichakachua na hawakuweka malinda KAMA INAVYOTAKIWA na ndipo lawama zilipo WAshukIA WANAFUNZI kuwa wametoa malinda HAYO YA SURUALI,ILA MPAKA SASA WANAFUNZI WOTE WALIOGA KIPIGO HICHO wamekaa kimya kuhofia kufukuzwa shule.
serikali ipoooooooooooooooooooooooi
 
mimi nilienda hapo mwaka 2008 nikakuta wanafunzi wanachezea mboko kama kawa nilifikiri waalimu wameshaacha hayo mazoezi mwilini mwa madent.
 
wanafunzi fuateni sheria na taratibu za shule, acheni mambo mengine ya ajabu ajabu, someni wadogo zangu. kwenye mboko hapo DU! 33 havikubalik lakin ......................................
 
wanafunzi fuateni sheria na taratibu za shule, acheni mambo mengine ya ajabu ajabu, someni wadogo zangu. kwenye mboko hapo DU! 33 havikubalik lakin ......................................

tatizo letu watanzania tunapenda saaaaana kulalama,hebu toeni mawazo na ushauri nini kfanyike sasa...tusiwe kama serikali ya KJ,wananchi wanalia,serikali nayo inalalamika,which is which
 
Back
Top Bottom