Naomba biologia itumike kueleza hatua za ukuaji wa wadudu na kujivua gamba???????

lubangojoshua

Member
Mar 9, 2011
11
0
Wakat nikiwa form three kama si form four huko kipoke sec,nilifndishwa jinsi kiumbe mdudu anavyokua,nikacholewa na GRAPH YAKE NI KAMA NGAZI VILE,HAPA NAOMBA MAELEZO KITAALAMU,na kwanini kujivua GAMBA???
NYOKA AKITOA GAMBA HAFI BALI LINAOTA JINGINE
 
Back
Top Bottom