Kulazimishwa kununua vifaa vya shule na mkurugenzi wao wa shule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulazimishwa kununua vifaa vya shule na mkurugenzi wao wa shule

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lubangojoshua, May 25, 2011.

 1. lubangojoshua

  lubangojoshua Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SHULE YA AZIMIO SEC YA MJINI DODOMA AMBAYO IMEJIZOLEA UMAARUFU KWA KUCHAPA WANAFUNZI VIBOKO MPAKA 48,NA KUPIGA NGUMI WANAFUNZI,MKURUGENZI WA SHULE HIYO AMEBUNI MRADI WA KUWALAZIMISHA WANAFUNZI WAKE KUNUNUA MABEGI YA DAFTARI,VIATU A UNIFORM KUZIPATA HAPO KWAKE KWA LAZIMA,kama huna hela kwenuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,hata kama umelipa ada yoteeeeeeee

  Mbali na hapo ana kamladi kengine kaa kuuza chakula kwa wanafunzi,i wanatoa 1700 kwa mwezi...............
   
Loading...