Search results

  1. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Elnino ni hali ya hewa inayofanya kuwe na ongezeko kubwa la mvua kuliko ujazo unaorekondiwa kwa msimu. Mfano mvua za mwaka jana kipindi chote cha masika ujazo wake sio sawa na huu. Sasa sina hakika kama hizi mvua ni za Elnino ama la.
  2. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Unasema iliwahi kutokea zaidi ya hii
  3. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Wanaposema ifakara ni bonde waeleweke!! Hapa navyotype mvua inapiga na anga limenuna sio mchezo
  4. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Mto Lumemo umemwaga sio mchezo ni balaa!! Kifupi kama unatokea Kibaoni kuja mjini, kuanzia ilipo Villa Lodge kote maji yamefurika balaa. Njoo mpaka Kona ya Jerusalem kote huko ni maji tu, kama unafahamu barabara ya kwenda PK arena nako ni maji yanapita juu ya barabara kama mto.. Sogea mbele...
  5. kaburungu

    Kuna raia wa nje anataka kunitapeli

    Hakuna mtu serious hapo huyo ni TP usipoteze muda.
  6. kaburungu

    DOKEZO Amewasilisha Polisi malalamiko ya ndugu yake kuuawa lakini Askari wa Kituo cha Polisi Kibaha wanamzungusha tu

    That's it sasa mtu anakupa tips na bado unamtaka amlete eti mtu aliyeshudia, kazi ya upelelezi ni nini? Nyenzo wanapewa elimu wanapewa zaidi ya yote umepewa na tips, hawa askari noma sana.
  7. kaburungu

    FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Utajua mwenyewe sie inatuhusu nini kwanza unamwambia nani 🤣
  8. kaburungu

    Mashabiki wa Yanga wafurahia timu yao kufungiwa na FIFA, TFF

    Wewe inakuhusu nini? Pambana na hali yako na leo Ihefu itawakanda subiri uone
  9. kaburungu

    Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

    Wewe Mwananchi B umenichekesha sana eti au sio mbali? Unajua ukiwa Tunduma boda ya Tz na Zambia network ya airtel Zambia inasoma, likewise iko possiblity ya network ya Burundi kusoma baadhi ya maeneo Kigoma.
  10. kaburungu

    Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Hata mimi naweza kumtembeza na motor car yangu. Akaribie ifakara, mkuu unapatikana maeneo gani hapa Ifakara?
  11. kaburungu

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Fanya hivyo bwana ngada.. chuma iko vizuri cha muhimu cheki site tofauti tofauti ulinganishe bei. Mimi niliagiza kupitia autocom Japan. Shida ya hawa wanastock ndogo sana ya hizi gari, uzuri wao bei yao iko poa na msimu huu vile uchumi wa Japan umeyumba wanauza bei nafuu kiasi
  12. kaburungu

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Uko sahihi sema zinapishana price kulingana na mwaka iliyotengenezwa mfano Outlander ya 2012-2013 imesimama mzee sio poa
  13. kaburungu

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Mimi ninayo mwaka wa pili na haijawahi nisumbua mkuu. Chuma imetulia
  14. kaburungu

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Hii ni chuma ninayo ya 2008 wala sijutii kuwa nayo comfortability+durability inajitahidi.. six gear simulation huwezi ifananisha na tako la ngedere toleo la mwaka 2008!! Nilinunua mwaka2022 hadi leo hii haijawahi niletea kwere.. safari ndefu nakwenda nayo mara nyingi karibu kwenye Mitsubishi...
Back
Top Bottom