Search results

  1. jogoo mtata

    Magazeti yapotezea Drama za Magufuli Bandarini

    Duhhh Leo baba J roho Yake imesuuzika maana waandishi wameonyesha uzalendo
  2. jogoo mtata

    CCM: Kinana hataongea na wandishi wa habari, yupo nje ya Nchi

    Dictatorship [emoji54][emoji54]
  3. jogoo mtata

    Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Nasikia ndo mkodishaji mpya wa Yanga
  4. jogoo mtata

    Hii ni kwenu wasichana

    [emoji106]
  5. jogoo mtata

    Hii ni kwenu wasichana

    Sijawahi mkuu, ila napenda zaidi uhalisia, hata kama kujibebisha Kuna kiasi chake, Muda wa mapenzi ujulikane, muda wa kufanya mambo mengine ujulikane vilevile
  6. jogoo mtata

    Hii ni kwenu wasichana

    Hao wanawake wanaolalamika lazima watakua below 25..... Too much childish in love, ila matured girls don't do that, ila pia sometimes Kuna sababu, labda ni kawaida Yao kuwa karibu Muda mwingi hata Kwa njia ya mawasiliano so inapotokea mtu aka mute ghafla lazima mwenzie ashtuke kidogo, so it's...
  7. jogoo mtata

    Nyanya moja yauzwa kwa shilingi 300

    Dodoma nyanya Sado 1, sh. 7000, fungu dogo la nyanya sh. 500, kubwa 600..... Sado ilikua 4000
  8. jogoo mtata

    Kipi chuo kizuri kusomea Clinical Medicine au Laboratory Technology?

    DECCA College of health and allied sciences (DECOHAS) kipo Dodoma
  9. jogoo mtata

    Nampenda mume wa mtu

    Eti upo serious!!! Do you know the meaning of being serious??? Acha kujipotezea Muda, huolewi ng'oo
  10. jogoo mtata

    Nampenda mume wa mtu

    She is just 24..... Hana uelewa wa uhalisia wa maisha
  11. jogoo mtata

    Kisa kamili cha mapenzi ushauri unahitajika

    Huyo ni mke wako halali, uzinzi utakaotokea ndani ya ndoa ndo unaoweza kuwatenganisha, sio historia Yake ya nyuma, msamehe, mkabariki ndoa, mlee watoto wenu.
  12. jogoo mtata

    Manji na Gwajima waondolewa Kituo cha Polisi na gari jeupe chini ya ulinzi kuelekea katikati ya jiji

    Wale mawakili 8 nao wameongozana na Hilo gari jeupe??
  13. jogoo mtata

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Duhhh, Makonda tupe breki kidogo Kazi ziende jamani
Back
Top Bottom