Search results

  1. Nondoh

    Ni kiongozi gani wa kiroho anayeweza vumilia muumini wake akiteswa kwa sababu ya itikadi yake

    Kwa hali ya sasa ya kisiasa nchini na matukio ya kutekwa, kufungwa, kuwekwa nguvuni, kujeruhiwa au kuuwawa kwa watu wanaotofautia kiitikadi/mtazamo na serikali kumeibua makundi matatu ya viongozi wa kiroho Kundi la kwanza ni viongozi wa kiroho walioamuaa kukaa kimya na kuendelea na huduma zao...
  2. Nondoh

    Marekani waandamana kupinga matumizi holela ya silaha

    Leo yamefanyika maandamano makubwa nchini Marekani yakiongozwa na vijana wadogo kupinga matumizi ya holela ya silaha huku wakitaka sheria kali ziwekwe juu ya umiliki holela wa silaha. Ikumbukwe kuwa moja ya sera za rais wa Marekani Donald Trump ni kupambana kuhakikisha sheria ya sasa ya umiliki...
  3. Nondoh

    Mwigulu Nchemba adai Lissu ni ndugu yake

    Siku za hivi karibuni Lemutuz kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika Tundu Lissu ni ndugu yake, niliposoma nilianza kukumbuka lugha za kejeli alizokuwa akizitoa Tundu Lissu akiwa mahututi hajitambui... Leo kwenye mitandao nimeona clip ya Mwigulu akijisifia Tundu Lissu ni ndugu yake...
  4. Nondoh

    Nani wa kutoa ufafanuzi wa rasimu ya katiba ya Warioba ikiwa wajumbe wote (key figures) watakuwa upande wa CCM

    Hili ni swali najiuliza lakini nakosa jibu sahihi. Ni nani atatoa ufafanuzi wa kipengele kwa kipengele cha rasimu ya katiba ya Warioba pale muda wa mabadiliko ya katiba utakapo fika ikiwa wajumbe wote (key figures) watakuwa upande wa ccm Upepo unavyoelekea unaonyesha wajumbe wengi hasa wale key...
  5. Nondoh

    CHADEMA fanyieni kazi ushauri wa Mange Kimambi kumuondoa Lowassa mapema

    CHADEMA mnatakiwa muufanyie kazi ushauri wa Mange Kimambi kumuondoa Lowassa mapema vinginevyo upinzani utakufa kifo cha mende katikati ya uchaguzi mkuu 2020. Hebu fikirieni tangu Mrema alipotumika kuusambaratisha upinzani baada ya uchaguzi wa 1995 ni miaka mingapi imepita hadi leo hii chadema...
  6. Nondoh

    Gazeti la The Sun Uingereza kuihoji mahakamani bodi ya parole kwa kumuachia huru mbakaji

    Gazeti la The Sun la uingereza limepanga kuchukua hatua za kisheria kuitaka bodi ya palore ieleze ukweli kwanini imeamua kumuachia huru mbakaji John Worboys. Maelezo zaidi tembelea The Sun launches legal bid to make John Worboys parole board reveal why it agreed to release rapist Mawazo yangu...
  7. Nondoh

    Jinsi ya kumdhibiti mwanamke mwenye kidomo domo

    Mara nyingi yanapotokea mabishano/kutibuana kwa wenza silaha kubwa anayotumia mwanamke ni mdomo na kwa kuwa wanaume wengi hawawezi kuongea hivyo hutumia misuli yao kumdhibiti mwanamke matokeo yake wakati mwingine yanapelekea kudhuru na kujiingiza matatizoni na gharama zisizo na ulazima. 0ption...
  8. Nondoh

    Watesi wa Tundu Lissu hawakujiandaa kisaikolojia

    Tangu Septemba 2017 TL alipopigwa aliposhambuliwa ili kumtoa roho nimefuatilia mijadala na maoni mbalimbali. Jambo nililo baini mbali na yeye mwenyewe kusema watesi wake hawakuwa na plan B mimi pia nimebaini hawa jamaa na wafuasi wao hawakujianda kisaikolojia baada kama TL angepona. Kipindi...
  9. Nondoh

    Habari njema kwa wanawake wenye matiti yaliyochapa usingizi

    Moja ya sababu kubwa ya wanaume kutoka nje ya mahusiano ni pamoja na kuyakimbia matiti yaliochapa usingizi a.k.a malapa a.k.a ndala a.k.a usingizi wa pono na kuzifuata chuchu konzi a.k.a chuchu saa sita Asikwambie mtu kuwa na mwanamke chuchu konzi chuchu saa sita kuna raha yake jamani...
  10. Nondoh

    Disemba 3, kila mwaka maadhimisho ya siku ya nyufa duniani

    Kutokana na mjadala wa nyufa hosteli za Magufuli unaoendelea, nimesoma baadhi ya maoni katika thread mbalimbali nimejifunza mambo mengi kuhusu ujenzi. Napenda kukiri nyufa hizi binafsi nimefaidika kupata elimu kutoka kwa baadhi ya wachangiaji walioeleza kitaalam. Ukweli ni kwamba watanzania...
  11. Nondoh

    Kuelekea uchumi wa viwanda ni vizuri tukajua maana na tafsiri halisi ya viwanda

    In short CCM na viongozi wake wanawachanganya wananchi kuhusu uchumi wa viwanda. Inafika hatua unashindwa kujua kama ni makusudi au nao hawajui kiwanda ni nini. Tangu tuaminishwe tanzania ya viwanda inakuja watu mbalimbali watu mbalimbali wamejitokeza na kuelezea viwanda. Imefika hatua kiongozi...
  12. Nondoh

    Ushauri wa nguo za kuvaa kwa wadada mnapokuwa kwenye siku zenu

    Jana nikiwa bar alikuja mdada kunihudumia, alizichukua chupa na kuondoka akiwa amenigeuzia mgongo nikaona kama linundu linundu, kama ilivyo nature ya mwanaume lijali nikaanza ku create image huku nikiwaza ni nini kilichotuna, mayb amesuka rasta, mayb ana xxx exceptional yenye ujazo uliotukuka...
  13. Nondoh

    Tanzania bila siasa ya hoja kwa mtutu inawezekana

    Nimetafakari sana juu ya mwenendo wa siasa za Tanzania, ukweli hali ni mbaya na tunako elekea mbele kuna Giza. Taifa limekuwa la chuki. Chuki kuanzia ngazi ya kijiji, kata, wilaya, mkoa hadi taifa. Siasa iliyokuwa ya hoja kujibiwa kwa hoja haipo tena, siasa iliyopo ni ya hoja kujibiwa kwa...
  14. Nondoh

    Nataka kumuoa mdogo wa mke wangu, hii imekaaje kisheria?

    Ndugu watanzania wenzangu hapa nilipo nipo kwenye mtihani mgumu sana wa kimaisha nashindwa nini cha kuamua, kiufupi nipo kwenye dilema. Ki ufupi nimeishi na mke wangu karibu miaka 10 na tumebahatika kupata watoto 2. Kipindi chote cha mahusiano yetu tunaishi kwa furaha, amani na upendo. Tatizo...
  15. Nondoh

    Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma ikishindwa kutenda haki suala la RC Makonda itabidi ivunjwe

    Leo mida nimefungua whatsapp na kukutana na ujumbe huu Nimetafakari sana jinsi tume ya maadili ya viongozi wa umma itakavyo pata tabu sana kuamua suala lililopo mezani la RC Paul Makonda. Ukiondoa matakwa ya kanuni na sheria zinazo waongoza huu kwao ni mtihani mgumu sana hasa ukizingatia...
  16. Nondoh

    Ushauri: Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma ivunjwe endapo ikishindwa kutenda haki suala la RC Makonda

    Leo mida nimefungua whatsapp na kukutana na ujumbe huu ukweli nimetafakari sana jinsi tume ya maadili ya viongozi wa umma itakavyo pata tabu sana kuamua suala lililopo mezani kwake la RC Paul Makonda. Ukiondoa matakwa ya kanuni na sheria zinazo waongoza huu kwao ni mtihani mgumu sana hasa...
  17. Nondoh

    Kukua kwa sekta ya siasa nchini nini hatma ya wasomi

    Prof Juma Kapuya alifundisha Botany pale mlimani, lakini kinachomtambulisha sasa ni ubunge wa Urambo Magharibi/Kaliua huko na uwaziri wa elimu, michezo, kazi,vijana, ulinzi nk. Prof Philemon Sarungi alikuwa mzalendo wa kwanza kuwa bingwa wa fani ya mifupa, lakini hiyo haikumsaidia "kula nchi"...
  18. Nondoh

    Taarifa mheshimiwa Spika

    Kwanza kabisa napenda kusema Mimi sio mfuatiliaji Sana wa Bunge, lakini Mara chache nilizopata kufuatilia nimejifunza machache likiwemo suala la utoaji taarifa hasa pale mbunge/waziri/spika anapoona mtoa mada anapotosha jamii. Huomba kitu cha spika kumkatisha mtoa mada Na kutoa ufafanuzi juu ya...
  19. Nondoh

    Tujikumbushe uchaguzi mkuu 2015

    Thread hii ni ya kujikumbusha matukio yaliyojitokeza wakati wa zoezi zima la uchaguzi Mkuu wa 2015, mfano wa matukio hayo ni kama; 1. Ahadi 2. Malalamiko 3. Pongezi 4. Mafanikio 5. Maombi 6. Sera 7. Ujumbe 8. Vimbwanga 9. .... Matukio haya ni yale ambayo ulishuhudia kwa macho yako na kuchukua...
  20. Nondoh

    Ushauri: Kabla ya kurudi nchini, Dereva wa Lissu akutanishwe na wataalam wa Marekani zichorwe picha tuwatambue wauaji

    Nakumbuka wamarekani walitusaidia kumkamata muuaji aliyemuua padri kule Zanzibar kwa kutumia vikaragosi. Kutokana Na utaalam walionao wamarekani katika investigation watatusaidia kuwakamata wote waliomshambulia Tundu Lissu. Kuna whatsapp nimesoma dereva WA Tundu Lisu amesema anawajua Na gari...
Back
Top Bottom