Nondoh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 298
- 478
Kutokana na mjadala wa nyufa hosteli za Magufuli unaoendelea, nimesoma baadhi ya maoni katika thread mbalimbali nimejifunza mambo mengi kuhusu ujenzi.
Napenda kukiri nyufa hizi binafsi nimefaidika kupata elimu kutoka kwa baadhi ya wachangiaji walioeleza kitaalam.
Ukweli ni kwamba watanzania wengi tunafanya ujenzi kwa kuunga unga sana na katika ujenzi unaweza jikuta nymba moja imejengwa na mafundi si chini ya watatu kwani ukipata kalaki unakatumbukiza kwa ujenzi nyakati tofauti tofauti.
Kutokana na uchumi kuwa mdogo na kuwatumia mafundi tofauti tofauti unaweza jikuta wengine wakajenga vizuri wengine wakaharibu. Lakini kutokana na maoni ya wachangiaji humu wengine tunapata mwanga a,b,c zinatusaidia hata wakati fundi anajenga kama anaharibu itasaidia kuzuia kuendelea ili usiingie hasara.
Hivyo nimependa siku ya Disemba 3 kila mwaka iwe siku ya nyufa duniani ili kujenga awareness hasa kwa wasio na elimu yoyote juu ya ujenzi na kuchukua tahadhali ya unplanned expansion joints. Siku hii itasaidia wataalam kusaidia wasio na uelewa kujua a,b,c za ujenzi wa nyumba iwe public (hasa miradi inayotekelezwa kwa nguvu za wananchi i.e TASAF) au private ujenzi wa nyumba binafsi.