Kuelekea uchumi wa viwanda ni vizuri tukajua maana na tafsiri halisi ya viwanda

Nondoh

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
298
478
In short CCM na viongozi wake wanawachanganya wananchi kuhusu uchumi wa viwanda. Inafika hatua unashindwa kujua kama ni makusudi au nao hawajui kiwanda ni nini.

Tangu tuaminishwe tanzania ya viwanda inakuja watu mbalimbali watu mbalimbali wamejitokeza na kuelezea viwanda. Imefika hatua kiongozi mkubwa aliyekabidhiwa dhamana ya uongozi katika nchi anavyotoa maelezo kuhusu viwanda ukimsikiliza unapata shaka kama huyu mtu anacho kiongelea anakijua au la? Unashindwa kumtofautisha kati yake na kibajaj

Viongozi wengine wanapost maandazi kwenye mitandao wanaita viwanda.. Tafsiri au maana ya viwanda imekuwa ni vituko haijalishi anayezungumza ni mtu mwenye upeo au mwenye upeo wenye mashaka, wote hawana tofauti.

Kama haita tolewa tafsiri au maana halisi ya uchumi wa viwanda ipo siku mtu au kiongozi atampost mke wake anasonga ugali ataita ni kiwanda na watanzania walio na upeo wenye mashaka wataamini.

Ni vizuri tujue maana na tafsiri ya viwanda ni nini. Je mataifa yaliyoendelea yanatafsiri vipi maana ya kiwanda, je mataifa yanayoendelea na yenye uchumi wa kati wao wanatafsiri vipi maana ya kiwanda.
 
inaonekana hili suala limekutesa muda mrefu sana mkuu.
Hata vyerehani viine ni kiwanda kwa mujibu wa serikali hii.
 
Kwa mjibu wa sizonje, vitu kama gereji, karakana ya fundi seremala, sehemu ya kutengenezea chapati nk ni viwanda. Hivyo kabla ya mwaka 2020 usishangae tukaambiwa Tanzania is an industrial country
 
Kiwanda Ni :-
1. Vyerehani Vinne Ukiwa Nayo
2. Ukiweza Kuzaliza Kilograms 50 Za Mazao
(Kauli Hii Ilitolewa Kagera Na Rais )

Tusipende Kumkwamisha Rais Kwenye Tanzania YViwanda. Tunategemea Sana Tanzania Ya Viwanda Itawapa Graduate Wetu Ajira Nyingi Sana. :D:D:D
 
Kwa mjibu wa sizonje, vitu kama gereji, karakana ya fundi seremala, sehemu ya kutengenezea chapati nk ni viwanda. Hivyo kabla ya mwaka 2020 usishangae tukaambiwa Tanzania is an industrial country
Kwa hiyo utaratibu ndio ule ule kama uliotumika ktk bunge la katiba baada ya kura kutotosha wakazitoshelezesha matojeo yake wakafeli... Kwa hiyo kuelekea uchumi wa viwanda visipo tosha watavitoshelezesha
 
Back
Top Bottom