Search results

  1. Nondoh

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Toka lini server yako inajaa.. ingekuwa inajaa si ungeacha tabia yako ya ushga
  2. Nondoh

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Kwani wewe una faida gani zaidi ya kujaza inzi tu
  3. Nondoh

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Hivi huwa unabembelezaga wanaume
  4. Nondoh

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Tat Tatizo lililopo matusi sio utamaduni wangu
  5. Nondoh

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Mawasiliano nao hawataki kureply
  6. Nondoh

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Kubaki na membership humu hata kama haulog in nisawa na kuzika maiti ndani halafu unajidanganya utasahau
  7. Nondoh

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Forum imepoteza mvuto kabisa hata kama uwoga umewazidi wanatia kinyaa
  8. Nondoh

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Wadau kwa member yoyote anayejua namna ya kujitoa (left) kwenye hii forum... kwa ufupi jf imepoteza mvuto kabisa, jf siku hizi wanachagua thread na kuangalia nani katuma.. humu kuna watu wakileta hoja hoja zao zinaachwa hata ingekuwa haina mashiko itaachwa tuu na kuna wengine hawatakiwi kabisa...
  9. Nondoh

    Ni kiongozi gani wa kiroho anayeweza vumilia muumini wake akiteswa kwa sababu ya itikadi yake

    Kwa hali ya sasa ya kisiasa nchini na matukio ya kutekwa, kufungwa, kuwekwa nguvuni, kujeruhiwa au kuuwawa kwa watu wanaotofautia kiitikadi/mtazamo na serikali kumeibua makundi matatu ya viongozi wa kiroho Kundi la kwanza ni viongozi wa kiroho walioamuaa kukaa kimya na kuendelea na huduma zao...
  10. Nondoh

    Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

    Wewe ukiona Mange anakupiga ban hamia kwa humphley polepole utakuwa umemkomesha na waambie wenzako wote mnaomchukia Mange hamieni kwa Polepole mtakuwa mmemkomesha sana na mkiona insta kwa polepole kumechacha boresheni akaunti zenu mwenye shida atawafata.. kama ulivyosema Mange chizi mkiendelea...
  11. Nondoh

    TLS tunajibu kisomi, tunakwenda kumchagua Lissu mwingine Arusha!

    Yaani unaongelea kitu ambacho hutaki kukijua we utakuwa mwehu manake ni vichaa peke yao ndio wanaongelea vitu wasivyotaka kuvijua.. itabidi uwe admitted milembe faster manake unaweza kunya barabara halafu ukajibu hutaki kujua kama umekunya
  12. Nondoh

    TLS tunajibu kisomi, tunakwenda kumchagua Lissu mwingine Arusha!

    Miaka 55 hujui nini kinaendelea? Mmmh! Si bure probably mwili wako ulitangulia kuja duniani nahisi akili zako kama ziliwahi sana itakuwa zilikuja 2016
  13. Nondoh

    Marekani waandamana kupinga matumizi holela ya silaha

    Usifananishe na utapiamlo wa bunge la tanzania... kama ungekuwa mfuatiliaji wa siasa za marekani ungekuwa unajua Obama alipambana sana kuiondoa hiyo sheria ya sasa hadi alilia bungeni kuomba muswada upitishwe lakini bunge lilimtosa ndio maana anawapa moyo vijana wafanye mabadiliko kwa...
  14. Nondoh

    Marekani waandamana kupinga matumizi holela ya silaha

    Leo yamefanyika maandamano makubwa nchini Marekani yakiongozwa na vijana wadogo kupinga matumizi ya holela ya silaha huku wakitaka sheria kali ziwekwe juu ya umiliki holela wa silaha. Ikumbukwe kuwa moja ya sera za rais wa Marekani Donald Trump ni kupambana kuhakikisha sheria ya sasa ya umiliki...
  15. Nondoh

    Brussels, Belgium: Tundu Lissu kufanyiwa upasuaji wa 19

    Professional code of ethics hazimkatazi mpokea mpokea huduma kumsifia mtoa huduma labda kama mwenzetu unaapply ethics anazotumia naibu waziri aliyesema wao enzi zao walitumia youtubu wakiwa lab
  16. Nondoh

    Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

    Inasimamia miguu Sijui wewe unasimamia nini?
  17. Nondoh

    Mwanafunzi wa chuo apigwa risasi na polisi, Mashuhuda waelezea tukio zima

    BBC News Swahili menu Kiongozi wa wanafunzi auawa kwa kupigwa risasi Kenya 28 Februari 2018 Sambaza habari hii Email Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Whatsapp Image copyrightHISANI, FACEBOOK Image captionBango la kampeni la Evans Njoroge Kifo cha...
  18. Nondoh

    Jeshi la polisi, shame on you!!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waziri Kigwangala akijamba ofisini mgeni akaingia ghafla anawasha feni na kusimama akijifanya anapanga panga mafaili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au anamfata mgeni mlangoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mange kimambi sio wa mchezo
Back
Top Bottom