Nondoh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 298
- 478
Mawasiliano nao hawataki kureplyWasiliana na JamiiForums
Mawasiliano nao hawataki kureplyWasiliana na JamiiForums
Hahahaa! Uzuri wa jf hakuna kubembelezaniUliingiaje kwani...??
Hapo ulipoingilia tokea hapo hapo
Wewe huna nia ya kujitoa humu,sijui unadhani tutakubembeleza?! Acha kulog in tu!Kubaki na membership humu hata kama haulog in nisawa na kuzika maiti ndani halafu unajidanganya utasahau
Tatizo lililopo matusi sio utamaduni wanguHata usipate taabu we mtukane mtu yeyote intensively
Hapo utakuwa umeleft mwenyewe automatically na hautaweza kupata access ya kulogin tena
Hivi huwa unabembelezaga wanaumeHahahaa! Uzuri wa jf hakuna kubembelezani
Wewe huna nia ya kujitoa humu,sijui unadhani tutakubembeleza?! Acha kulog in tu!
Pole mkuu. Wewe unaona kama umeonewa ila kila mtu anafanyiwa hivyo lengo likiwa ni kuboresha jukwaa. Wala usijisikie vibaya. Wakati wewe mada yako moja au mbili imeondolewa, wengine tuna mada kama kumi zimeondolewa. But kwa kuwa unakuwa umeshakomaa kifikra, unakuwa unaelewa then unatoa ushirikiano kwa thread ambazo zimekwisha kuanzishwa.Hizi ndio sababu zimenifanya niombe msaada kwa anayejua namna ya kuleft kwenye hii jamiiforums.. sitaki tena kuwa member humu
Wanaume hua hatulii lii hovyo kama wanawake,wewe acha kulog in tu,kwanza huna faida yeyote humu wewe toka tu humu.Hivi huwa unabembelezaga wanaume
Hana nia ya kulog out huyo,anajiulizisha tu.Pole sana
Si u log out tuu?
Mimi nadhani, lengo hapa la Mlalamikaji si suala la kupata likes nyingi, Ishu iliopo ni Haki sawa kwa wote ktk kuwasilisha kile ambacho mtu anadhani Jamii inapaswa kufahamu. Isionekane kwamba kuna watu maalumu wa kuanzisha Threads na wengine wawe ni wachangiaji, hii sio sawa, kila mtu awe na haki ya kuanzisha Mada na pia haki ya kuchangia mada zilizokwisha anzishwa.Pole mkuu. Wewe unaona kama umeonewa ila kila mtu anafanyiwa hivyo lengo likiwa ni kuboresha jukwaa. Wala usijisikie vibaya. Wakati wewe mada yako moja au mbili imeondolewa, wengine tuna mada kama kumi zimeondolewa. But kwa kuwa unakuwa umeshakomaa kifikra, unakuwa unaelewa then unatoa ushirikiano kwa thread ambazo zimekwisha kuanzishwa.
Kwanza ngoja nikwambie siri. Hakuna deal katika kuanzisha threads. Deal liko kwenye kuchangia thread zilizoanzishwa.
Wakati mleta mada anaweza akapata likes moja, wewe mchangiaji unaweza ukajizolea likes nyingi tu. Kama unataka kupata likes nyingi, jikite kuchangia thread zilizokwisha anzishwa. Kuwa wa mwanzo mwanzo kuchangia na changia michango ambayo haiboi. Ukifanya hivi, ndani ya mwezi unaweza ukapata likes elfu kumi!
Thats all on his head. Hakuna mtu yeyote anayependelewa katika kuanzisha thread. Thread ikiwa na mantiki inawekwa jukwaani. Ikitokea watu wawili wameripoti tukio moja, yule aliyeanza kuripoti kwanza na akaweka taarifa sahihi basi thread yake ndiyo inakuwa thread mama na thread zitakazofuata huunganishwa na hiyo iliyotangulia.Mimi nadhani, lengo hapa la Mlalamikaji si suala la kupata likes nyingi, Ishu iliopo ni Haki sawa kwa wote ktk kuwasilisha kile ambacho mtu anadhani Jamii inapaswa kufahamu. Isionekane kwamba kuna watu maalumu wa kuanzisha Threads na wengine wawe ni wachangiaji, hii sio sawa, kila mtu awe na haki ya kuanzisha Mada na pia haki ya kuchangia mada zilizokwisha anzishwa.
Kwani wewe una faida gani zaidi ya kujaza inzi tuWanaume hua hatulii lii hovyo kama wanawake,wewe acha kulog in tu,kwanza huna faida yeyote humu wewe toka tu humu.
Acha kutujazia server humu,kama vipi acha kulog in tu,mada zako ni pumba tu ndio maana mod's huzifuta,Kwani wewe una faida gani zaidi ya kujaza inzi tu
Toka lini server yako inajaa.. ingekuwa inajaa si ungeacha tabia yako ya ushgaAcha kutujazia server humu,kama vipi acha kulog in tu,mada zako ni pumba tu ndio maana mod's huzifuta,
So huna maana humu toka tu hata sasa hivi.