Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Hizi ndio sababu zimenifanya niombe msaada kwa anayejua namna ya kuleft kwenye hii jamiiforums.. sitaki tena kuwa member humu
Pole mkuu. Wewe unaona kama umeonewa ila kila mtu anafanyiwa hivyo lengo likiwa ni kuboresha jukwaa. Wala usijisikie vibaya. Wakati wewe mada yako moja au mbili imeondolewa, wengine tuna mada kama kumi zimeondolewa. But kwa kuwa unakuwa umeshakomaa kifikra, unakuwa unaelewa then unatoa ushirikiano kwa thread ambazo zimekwisha kuanzishwa.
Kwanza ngoja nikwambie siri. Hakuna deal katika kuanzisha threads. Deal liko kwenye kuchangia thread zilizoanzishwa.
Wakati mleta mada anaweza akapata likes moja, wewe mchangiaji unaweza ukajizolea likes nyingi tu. Kama unataka kupata likes nyingi, jikite kuchangia thread zilizokwisha anzishwa. Kuwa wa mwanzo mwanzo kuchangia na changia michango ambayo haiboi. Ukifanya hivi, ndani ya mwezi unaweza ukapata likes elfu kumi!
 
Mkuu tafuta ban ya kudumu tuu...sheria za kuvunja humu mbona nyingi
 
vumilia tu

hakuna kizuri kisicho na kasoro.
bora ubaki humu ni salama zaidi kuliko kurudi huko Facebook
 
Pole mkuu. Wewe unaona kama umeonewa ila kila mtu anafanyiwa hivyo lengo likiwa ni kuboresha jukwaa. Wala usijisikie vibaya. Wakati wewe mada yako moja au mbili imeondolewa, wengine tuna mada kama kumi zimeondolewa. But kwa kuwa unakuwa umeshakomaa kifikra, unakuwa unaelewa then unatoa ushirikiano kwa thread ambazo zimekwisha kuanzishwa.
Kwanza ngoja nikwambie siri. Hakuna deal katika kuanzisha threads. Deal liko kwenye kuchangia thread zilizoanzishwa.
Wakati mleta mada anaweza akapata likes moja, wewe mchangiaji unaweza ukajizolea likes nyingi tu. Kama unataka kupata likes nyingi, jikite kuchangia thread zilizokwisha anzishwa. Kuwa wa mwanzo mwanzo kuchangia na changia michango ambayo haiboi. Ukifanya hivi, ndani ya mwezi unaweza ukapata likes elfu kumi!
Mimi nadhani, lengo hapa la Mlalamikaji si suala la kupata likes nyingi, Ishu iliopo ni Haki sawa kwa wote ktk kuwasilisha kile ambacho mtu anadhani Jamii inapaswa kufahamu. Isionekane kwamba kuna watu maalumu wa kuanzisha Threads na wengine wawe ni wachangiaji, hii sio sawa, kila mtu awe na haki ya kuanzisha Mada na pia haki ya kuchangia mada zilizokwisha anzishwa.
 
Thats all on his head. Hakuna mtu yeyote anayependelewa katika kuanzisha thread. Thread ikiwa na mantiki inawekwa jukwaani. Ikitokea watu wawili wameripoti tukio moja, yule aliyeanza kuripoti kwanza na akaweka taarifa sahihi basi thread yake ndiyo inakuwa thread mama na thread zitakazofuata huunganishwa na hiyo iliyotangulia.
 
poromosha matus ya nguoni kama 6 mm nitamwita mood na wenzako watakuja kama stom na ban ya maisha utaipata
 
Hatupotoshi. Unajaribu kujenga hoja mko vizuri katika hilo. Mimi nilimuita Ngurumo mpumbavu mkaniban. Na humu ndani watu humvunjia heshima hadi Rais lakini hamchukui hatua kutokana na kuegemea upande fulani. Lakini kwa bahati mbaya sana wewe ukizuia huku inatoka kwingine. Be fair. Acheni kuvunja topic msizozipenda kwa kumerge haisaidii
 
Acha kutujazia server humu,kama vipi acha kulog in tu,mada zako ni pumba tu ndio maana mod's huzifuta,
So huna maana humu toka tu hata sasa hivi.
Toka lini server yako inajaa.. ingekuwa inajaa si ungeacha tabia yako ya ushga
 
Status
Not open for further replies.
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom