Search results

  1. Compton

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hata hizo taarifa anazihitaji, anataka kujua ni kitu gani walikuwa wanachunguza ili awanyooshe vizuri
  2. Compton

    Kimei aja na vunjo cup yenye zawadi nono

    Mwambie kimei aachane na haya mambo ya ajabu, kwenye Jimbo lake kijiji cha kiruweni toka mwaka 2000 tunataka umeme na haujafika. Haya ndo mambo ya kushughulikia
  3. Compton

    Swali la tafsiri ya terrorism linasaidia nini kesi dhidi ya Mbowe?

    Umuhimu upo hasa ukizingatia kesi yenyewe ni ya Terrorism, Sasa kama mtu anaefanya uchunguzi kwenye kesi ya ugaidi haelewi hata hiyo maana yake si ni upuuzi tu
  4. Compton

    Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

    Hicho kitu cheupe ni Ganja au Msuba, yani kifupi jamaa ameonyesha ubabe wa hali ya juu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Compton

    Ifahamu Pearl au kwa kiswahili "lulu" kama ilivyozoeleka kwa watu wengi

    Tena kwa wenzetu wanafuga hao Oyster kwenye aquarium
  6. Compton

    Polisi wa Tanzania wanasa Malawi wakifuatilia wahalifu

    Mbona Kuna Askari wenu alijaribu kuleta mambo kama haya kule kwenye boda ya Jasini, Tanga. Ashukuru viongozi wenu wa County ya kwale walikuja kupiga magoti la sivyo angeliwa kiboga
  7. Compton

    Dodoma: Ng'ombe 25 wafariki, 33 watoka mimba Baada ya kuchanjwa

    We inaonekana kichwani hamna kitu na wala huelewi unachokiongea. Jamaa kakuelezea kitaalamu CBPP haichanjwi IV bali ni Subcutaneous we unaleta utoto
  8. Compton

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Ukiwa Gaidi ni lazima uwe na kundi ?? ,Au sa nyingine mkijisikia kuongea mnaongea tu hata vitu visivyo na maana
  9. Compton

    Umewahi kupamba nyumba yako kwa Tanga stones

    Hapo ni Doda au Vijinga?
  10. Compton

    Roho inauma, nimetimuliwa nyumbani kwa fedheha

    Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje sio wewe huyu
  11. Compton

    Mlinzi wa Rais Samia Suluhu ajikwaa, almanasura aanguke

    Anaonekana ni wakina Makame
  12. Compton

    Nilikimbia mjini maisha magumu, nimerudi kijijini yamenitandika zaidi

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1822544/
  13. Compton

    Kumekucha Pemba, Wanawake watatu wapewa talaka kwa sababu za kisiasa

    Hao watu wa Pwani hata Vyoo hawana wanajisaidia baharini, unasema wamestaarabika?
  14. Compton

    Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Hivi nyie waCongo mbona mnapenda kuingilia mambo ya Tz
  15. Compton

    Familia ya bilionea Mrema yasambaratika, mali zapotea ovyo

    Mi najua kiasi cha ukwasi Duniani tunarate kwa Dollars, lakin wabongo mtu akishika vibilioni kadhaa (Tsh) wanasema bilionea hahaha. Bongo mabilionea wanaofahamika ni wawili tu Mo na Rostam hao wengine ni milionea
  16. Compton

    Ulishawahi kula tunda kwa mbinde kiugumu ugumu?

    Umenikumbusha mbali mno
  17. Compton

    Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

    Mkuu umecheka sana mpka ndege wote wamekimbia kwenye mti
Back
Top Bottom