Search results

  1. vee15

    Kuitwa Training TAESA

    Hawatabiriki mimi nilifanyaga interview mwaka jana December mpaka leo sijawahigi kuitwa for intern so inategemea na bahati yako si unajua corona iliingilia kati hpo so vingi vilikwama si ajabu ndo mana wengne hatukuitwa and transcript pia ni muhimu nenda nayo
  2. vee15

    Kuitwa Training TAESA

    Hiyo training ni wanafundisha tu interview techniques na jinsi ya kuandika cv and cover letters basi usihisi ni kazi ushapata hapo ni unapigwa training kama kawaida then badae ndo wanaeza kukuita ufanye interview yao then utaingia kwenye system zao ikitokea kazi ya kada yako wanakupangia nafasi...
  3. vee15

    Tunaomba update za interview TRA

    Tumeni iyo pdf basi
  4. vee15

    Tunaomba update za interview TRA

    :oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops: duuuh point 10-13 ulkua unaandika essay au
  5. vee15

    Course gani nzuri katika Utumishi wa Umma upande wa ajira?

    Kwanza soma unachekipenda toka moyoni mana itakutanua akili katika nyanja nyingi ukiwa unasoma muombe Mungu akutangulie pia kwanini umeeka mitazamo mingi sana kwenye kuajiriwa why usfikirie na kuja kujiajir pia but sina maana mbaya wala kutaka kukukatisha tamaa but nikwambia coz na mm nilikua na...
  6. vee15

    Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

    yametoka ndio ukisema kipengele cha customs swali la kwanza lilikua umo
  7. vee15

    Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

    Ni kaz imechangwa course tofaut tofauti so its possible
  8. vee15

    Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

    sasa unatak maombi yakaz km naomba nije kutangaza umu ili iweje km huna msaada acha kujaza huu uzi pita ivi.....
  9. vee15

    Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

    Hello wana JF, Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA. Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia? Asanteni
  10. vee15

    Naomba kuelekezwa namna ya uandishi wa barua ya kuomba ajira ya kujitolea

    Barua ya kujitolea haina tofauti na barua ya kuomba kazi sfa na muongozo nk ule ule moja ya vitu muhimu ni uzoefu wako, nini utaifanyia kampunia kwa uzoefu wako, elimu yako, availability yako na vingne vya msingi. Goodluck!!
  11. vee15

    Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

    sikuizi kupata tu sehem ya kujitolea nayo ni km kazi mtihani mkubwa ila asante kwa ushauri nimekuelewa
  12. vee15

    Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

    Asante mkuu kwa ushauri wako mzur nadhani nafanya yte uliyoyasema ila shukrani
  13. vee15

    Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

    Mbinu gani hasa unamanisha mana naitumia brighter monday sana ila sijawahi kupata kazi zao na CV yang pamoja na barua iko vzr
  14. vee15

    Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

    Habari wanaJF Nilikuwa nauliza je kweli unaweza kuipata kazi unayoomba kupitia hizi recruitment agency kama empower, brighter monday, top talented recruit na zingine? Maana utapeli siku hizi umekuwa mwingi nyingine utasikia utoe hela kwanza. Kwa waliowahi kupata kupitia hizi naomba ushauri...
  15. vee15

    Msaada wa organization ama NGO ya kujitolea

    natafta experience mana sina izo gharama ntatafta nauli kwa njia yoyote kula hta nisipokula angalau nipate hta miezi 6 itasaidia sana
  16. vee15

    Msaada wa organization ama NGO ya kujitolea

    ni malengo binafsi tu
  17. vee15

    Msaada wa organization ama NGO ya kujitolea

    nashukuru kwa mchango wako ila kwa moshi sitaweza mana nakaa dar es salaam kwa sasa
  18. vee15

    Msaada wa organization ama NGO ya kujitolea

    nashukuru kwa mawazo yko ntafanyia kazi nikipata kamtaji hata kadgo
  19. vee15

    Msaada wa organization ama NGO ya kujitolea

    Habari zenu wote wanaJF. Nimerudi tena hapa kuomba msaada tena kwa mara nyingine maana sijafanikiwa mpaka leo. Nimekuja kuomba tena naamini wapo wenye uwezo wa kusaidia serious ukiachilia hawa matapeli wanaojidai kuomba hela wengine wanatokomea kimya. Mimi ni graduate nilimaliza mwaka jana...
Back
Top Bottom