Msaada wa organization ama NGO ya kujitolea

vee15

Senior Member
Aug 8, 2016
118
54
Habari zenu wote wanaJF.

Nimerudi tena hapa kuomba msaada tena kwa mara nyingine maana sijafanikiwa mpaka leo. Nimekuja kuomba tena naamini wapo wenye uwezo wa kusaidia serious ukiachilia hawa matapeli wanaojidai kuomba hela wengine wanatokomea kimya.

Mimi ni graduate nilimaliza mwaka jana nimesoma Business Administration (CBE) level ya Degree since then sijapata chochote mpak sasa.

Najua wengi mtanijudge na kusema bado mapema ila tunatofautiana hali za maisha wengine changamoto ni nyingi ndio maana tunahangaika zaidi.

Naomba mwenye kujua au kuweza kunisaidia organization ama NGO ambayo naweza nikajitolea ama nikapata internship ya muda walau nipate experience kwa nilichosemea nitashukuru sana.

Asante sana.
 
Mkuu fungua ata Banda uza mboga na matunda unaweza pata Hadi 50k per day kutegemeana na location. Haya Mambo ya kujitolea alaf wanakulipa 100k per month Ni ujinga
 
nashukuru kwa mawazo yko ntafanyia kazi nikipata kamtaji hata kadgo
 
Ww unajitoleaje sasa at a zero cost? How will you survive

Nkukupa mchongo wa kujitolea kwenye NGo yetu huku moshi utaweza kufanya kazi? Ila jua hutapat hata mia zaid ya chai ya asubhi tu vitafunwa utajitegemea!

Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru kwa mchango wako ila kwa moshi sitaweza mana nakaa dar es salaam kwa sasa
 
Je utajimudu vipi na gharama za usafiri, kula na mengineyo yatokanayo na kujitolea kwako,
Vipi ikiwa dar utaweza maana hawakupi hata mia tano ya nauli?
 
natafta experience mana sina izo gharama ntatafta nauli kwa njia yoyote kula hta nisipokula angalau nipate hta miezi 6 itasaidia sana
 
Habari zenu wote wanaJF.

Nimerudi tena hapa kuomba msaada tena kwa mara nyingine maana sijafanikiwa mpaka leo. Nimekuja kuomba tena naamini wapo wenye uwezo wa kusaidia serious ukiachilia hawa matapeli wanaojidai kuomba hela wengine wanatokomea kimya.

Mimi ni graduate nilimaliza mwaka jana nimesoma Business Administration (CBE) level ya Degree since then sijapata chochote mpak sasa.

Najua wengi mtanijudge na kusema bado mapema ila tunatofautiana hali za maisha wengine changamoto ni nyingi ndio maana tunahangaika zaidi.

Naomba mwenye kujua au kuweza kunisaidia organization ama NGO ambayo naweza nikajitolea ama nikapata internship ya muda walau nipate experience kwa nilichosemea nitashukuru sana.

Asante sana.
Vee nakushauri hivi ni bora ukatafuta mtaji na kufanya biashara kuliko kwenda kujitolea. Labda kama watakupa nauli na chakula , lakini kama kila cost itakua juu yako hapana usifanye ivo. By the way upo dar unaweza ni pm nikakupa mawazo ya nini ufanye kama hutojali
 
Ok mkuu nakushukuru kwa wazo lako na ninakuja pm kwa majadiliano zaidi.
Ahsante
 
natafta experience mana sina izo gharama ntatafta nauli kwa njia yoyote kula hta nisipokula angalau nipate hta miezi 6 itasaidia sana
mkuu nadhan hamna atakaekuelewa hapa isipokua yule aliyepitia. target yako nmeiona.

utapata tu.
 
Back
Top Bottom