Search results

  1. DON SINYORI

    Kodi ya gesi,utalii yaondolewa Kenya

    Serikali ya Kenya imeondoa kodi kwenye gesi ya kupikia majumbani ili kuongeza matumizi ya gesi ili kumpa mwananchi unafuu wa gharama za maisha kwa wakenya na kulinda mazingira. Zaidi ya hayo bwana Uhuru Kenyatta ameondoa kodi ya VAT kwa watalii wanapoingia hifadhini, kodi ya malighafi za...
  2. DON SINYORI

    Bunge leteni sheria hii kupunguza michepuko

    Kule pakistan,kuna kabila moja ambapo utamaduni wake ni kwamba ukitaka kuoa mke wa pili sharti ujaribiwe kama unaweza ku''handle'' wake wawili. zoezi litolewalo ni kubeba jiwe kama hilo lenye kilo takribani 40 kwa lisaa limoja. ukifaulu basi unaruhusiwa kuongeza mke nlikuwa namwomba bunge...
  3. DON SINYORI

    Fundi wa Flat Screen anahitajika

    habari wana JF, naomba msaada mwenye kumfahamu fundi/mahali napoweza kupata hudumaya kutengenezewa Flat screen yangu kwani imepasuka kioo. aina ni LG Inchi 32'. natanguliza shukrani
  4. DON SINYORI

    MALEZI:Wazazi wachapeni watoto wenu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia bana yanakuja na faida na hasara nyingi pia. Kumekuwa na mada yenye uvutano wa hali ya juu ktk jamii kwamba ADHABU YA VIBOKO INAFAA AU HAIFAI kwa malezi ya watoto? nimebahatika kuishi nje ya nchi(states) kwa muda japo mfupi. Sera zao kule ni kwamba watoto...
  5. DON SINYORI

    Kumkopesha mwanamke inahitaji akili

    Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu. Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio! Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsApp...! _Hello...
  6. DON SINYORI

    Binadamu maskini kuliko wote hayupo Tanzania wala Africa

    pengine ukiulizwa binadamu maskini kuliko wote duniani,moja kwa moja ungevuta picha ya omba omba wa barabarani pengine au maskini walioko vijijini n.k lakini ukweli ni kwamba hao si maskini kuliko wote duniani. rejea hesabu za hasi na chanya. je kati mwenye 0 na mwenye -10 nani mwenye...
  7. DON SINYORI

    wanaume wa Dar mtatuua na lugha zenu

    Daaaaah juzi kati bana nilipata dharura nikaibuka jijini DSM na nikafikia kwa jamaa angu tuliesoma wote miaka ya nyuma. sasa kwakuwa safari ilikuwa ya ghafla nilienda kwa jamaa bila ya accesories muhimu kama power bank na chaja.basi ikawa hivi mimi: mzee naona simu inakata moto niazime chaja...
  8. DON SINYORI

    Rais Magufuli, mimi kusoma sijui je hata picha sioni?

    Ni uamuzi wa kushangaza sana kulazimisha watoto wasome masomo ya sayansi eti ili kuleta Tanzania ya viwanda. Kumbuka kwamba kuna mipango ya muda mfupi na ya muda mrefu. Mtoto wa form II kusoma sayansi ni ili kuleta mabadiliko ya viwanda ni mpango wa muda mrefu kwani hadi 2025 ndio atakuwa...
  9. DON SINYORI

    Mfahamu vizuri Vladimir Putin, Rais wa Urusi

    kuna msemo unasema picha huzungumza maneno elfu. kupiia picha hizi unaweza kumfahamu vizuri mbabe wa siasa za dunia hii bwana Vladimir Putin
  10. DON SINYORI

    Dar es Salaam (Tz) Vs Nairobi (Kny)

    Habari wana JamiiForums. Kwa uzoefu mdogo nilio nao ngoja leo niache uvivu na niyaongelee majiji mawili makubwa na pendwa hapa Afrika mashariki yaani DAR ES SALAAM NA NAIROBI. Nitayaongelea majiji haya katika vipengele vichache kwani nimebahatika kuishi katika majiji yote kwa muda Fulani hivi...
Back
Top Bottom