Search results

  1. shiite

    Matokeo ya Darasa la nne 2019/2020

    Na imani wazima ndugu zanguni. Kama kichwa cha habari Hapo juu kinavyojieleza. Nimepata taarifa kuwa Matokeo hayo yametoka tangu mwaka mpya. Lakini nimeangalia sehemu mbali mbali ikiwemo blogs na web ya necta hamna kitu. Tafadhali mwenye kunitoa matongotongo juu ya hili, anitoe waungwana...
  2. shiite

    Huawei Y336 kushindwa ku upload pics na vids JamiiForums

    Naimani mu wazima wana JF. Natumia Huawei Y336, nashindwa ku upload picha na video zilizopo kwenye memory card JamiiForums. Lakini social network zingine kama fb, whatssup, n.k inakubali. Wataalamu mnisaidie, je ni tatizo la simu, au sizijui settings za kufanya? Au nini hasa? Ahasanteni
  3. shiite

    Simu kushindwa Ku upload pics na vids zilizopo kwenye Sd card JF

    Naimani mu wazima wanajf. Natumia huawei Y336, nashindwa ku upload picha na video zilizopo kwenye memory card jamii forum. Lakin social network zingine kama fb, whatssup, n.k inakubali. Wataalamu munisaidie, je ni tatizo la simu, au sizijui settings za kufanya? au nini hasa? Akhasanteni
  4. shiite

    Walimu Ajira mpya 2017 kutana na Mwenyeji Wako!

    Mods naomba musiunganishe huu uzi na wa majina ya walimu wa ajira mpya! hapa naomba iwe sehemu ya walimu wenyeji kuwakaribisha wageni, ikiwezekana na kuwapa A, B, C za shule wanazoenda kufundisha. Naomba mwalim mwenyeji ukomenti shule yako na mawasiliano yako au utoe maelezo kidogo ya kata na...
  5. shiite

    Ni nini ugonjwa wa TB ya Moyo?

    wazima humu ndgu? kama title inavyojieleza, mgonjwa wangu kaambiwa ana kivuli upande mmoja wa moyo ambapo doctor anadai ugonjwa huo ni TB ya moyo. kuna zahanati moja hv jina naihifadhi ambayo ni binafsi, ndiyo hayo ameambiwa. Najua humu kuna wataalamu, naomba kujuzwa zaidi juu ya huu ugonjwa...
  6. shiite

    Huu ndio Umuhimu wa Dini

    FAIDA ZA DINI NI ZIPI? Zipo sababu nyingi zimfanyazo mwanadamu ahitaji Dini. 1. Sote twajua kuwa mwanadamu ni mnyama ahitajiye kuishi kijamii pamoja na wenzake. Kila mtu anategemea mamilioni ya watu wenzake kwa maisha yake na kwa mahitaji muhimu ya hayo maisha yake. Pia tunajua kuwa kila...
  7. shiite

    JF member aliyeko/waliopo Dumila tutambuane

    kama title inavyojieleza. Kufahamiana si vibaya, tujisocialize kidogo wana jf. Muliopo Dumila, Kilosa- Morogoro tufahamiane hapa. Karibuni Mtaa wa bombani karibu na police station
  8. shiite

    Ni nini asili ya mwitiko wa "Naamu" na "Beee"?

    Nimeona familia nyingi za kitanzania, wazazi wakiwasisitizia watoto kuitika katika moja ya miitikio hapo juu. Utakuta mtoto wa kiume akisisitizwa kuitika " naamu" anapoitwa, na mtoto wa kike kokokotezwa kuitika " beee" Imefikia hata baadhi ya wazazi kutumia nguvu nyingi ili watoto wao waitike...
  9. shiite

    New Member

    wakuu natumai mu wazima humu..naomba munikaribishe..
Back
Top Bottom