Search results

  1. Animal Keeper

    Sup sio kilema

    *SUP SIO KILEMA* [emoji41][emoji15][emoji35][emoji41][emoji15][emoji35] Sup kwangu si kilema, Ni matokeo ya kitaaluma, Kama kusoma nilisoma, Mtihani nikajibu vema, Moduli zote zilituama, Imenitokea haijaniuma, *_Sup Sio Kilema_* *_Tunasapua Tunasepa_* Sup ipo *UDOM*, Mzumbe hadi *SAUT*...
  2. Animal Keeper

    Nina nyota ya kupendwa na mademu ya wazuri

    Habar za ucku wakuu Kwanza natoa pole kwa wahanga wa Tetemeko la ardhi tupo pamoja na ninyi hata kwa maneno ya faraja naamin mtashukuru Jaman nina jambo la kuwashirikisha Ni hivi kila ninapo mpenda bnt mrembo huwa sikataliwi yaan sijawahi kusimama nao live na kuwapa maneno sumu bali huwa...
  3. Animal Keeper

    Hivi mwalimu wa wanadada n kipofu au kiziwi?

    DADA ZANGU NI VIZURI KAMA MKIYAFAHAMU HAYA..! [emoji117] Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone. [emoji117] Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee. [emoji117] Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume. [emoji117] Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie...
  4. Animal Keeper

    Karibun Eidy nyumbani kwangu

    Habarin wakuu Karibuni Eid nyumbani kwangu! Maelezo mafupi ili ufike kwangu Panda gari hapo ubungo! Ni mwendo wa masaa ma4 then ukishuka msamvu stand moro unapanda dalala nauli 400 unashuka mjini unapanda bodaboda nauli 5000 unashuka mlima uruguru, then unatembea masaa ma2 utakutana na usafiri...
  5. Animal Keeper

    Siasa imetuweka kwenye makundi mengi

    Kadi ya chama nachana
  6. Animal Keeper

    Best wishes all std 7 pupil's to ur exams

    Habarin wakuu Tufanye maombi kwa wadogo zetu wa darasa la saba ktk mitihani yao ya Taifa Mungu wa mbingun awatangulie ktk mitihan yao Amen[emoji120]
  7. Animal Keeper

    Wake za watu punguzeni kujiremba

    Yaani leo nimepata tabu sana mara baada ya mrembo flani hivi amazing kuja kukaa siti moja safari tulikuwa tunaanzia Masasi hadi jijini Dar. Aisee akiacha mtoto nyumbani unaweza kukataa kama amezalishwa na ni mama wa mabinti wawili. Basi safari ilipo anza sikutaka kujifanya kipofu kumuona tausi...
  8. Animal Keeper

    Naomba ushauri, kuna binti ananipenda ila mwanaume wake ametangaza vita juu yangu

    Kiufup nyumba za kupanga zina majaribu ya kila aina ila ya huyu mrembo nahisi kaninasa tayari maana binti utadhani ni pacha wa merimeta vile.Ila boy anae date nae kwa kuiba ananitishia life bila kujua na mimi ni mkatili. Mtoto anapenda swaga zangu maana kidume nna sauti nzito ya kumtoa unyevu...
  9. Animal Keeper

    Mm n mgen

    Habarin Huwa nainjoy xn kuona post mbali mbali Japo nachangia kwa kutoa maon yng bt kuna tatizo ambalo lina nikumba hasa nilipokuwa nataman nipost new topic Hasa ktk upande wa Love story Inanionesha ime fail Or ni use character 100 or fewer aisee sijui mtanisaidiaje maana nna topic kibao na...
Back
Top Bottom