Nimeona niulize swali hili ambalo limekuwa linanifikirisha kwa muda sasa hususani Mara baada ya viongozi wetu wakisiasa wanapokuwa wamevaa sare za majeshi yetu katika shughuli maalum mbalimbali za kitaifa,ili niweze kupata ufafanuzi.
Nilichotaka kukijua ni uvaaji wa nguo hizo kwa viongozi wetu...
Ngazi zote,ukiajiriwa na s/Kali sasa sahau habari za mshahara mkubwa mwisho 15.mil.semina na semina elekezi,posho,warsha na makongamano. Ni hapa kazi tu na kujitolea kiuzalendo kwenda mbele
Hofu yangu ni kwamba miongoni mwa hao wanaokwenda NECTA kuomba kuchapiwa vyeti vipya kwa hoja ya kuvipoteza miongoni mwa ina wezekana wakawa ndio vihiyo wenyewe wanaotumia vyeti vya watu,waliohai au kufariki na nk.
Hivyo Baraza linapaswa kuwa makini zaidi na kuongeza masharti ili kuwatambua...
Ndio maana ukaziita tetesi na sio habari zenye uhakika kwani hazina ushahidi Bali zinamalengo ya kupaka matope upande Fulani.
Lini CCM wakavunja utaratibu wa kukabidhiana madaraka ya wenyekiti kwa kizingizio cha fedha?
Unachokisema ni sawa na mahubiri ya kitetesi ya Askofu Gwajima
Hapo umenena ofkoz hachaguliwi kiongozi kwa sababu ya jinsia yake pekee ,ila sifa stahiki ikiwemo elimu/ujuzi,uchapakazi,na rekodi yake katika Utumishi wa umma na jamii kwa ujumla,
Wapo wanawake/wanaume wanaofaa na pia wasiofaa kwa upande wangu mm Rais afanyie kazi maoni yao huku akiendelea...
Hatumanishi kuusifia utawala wa JK na kuuponda ule JPM katika swala hili Bali TGNP wametumia kama nukta mrejeo katika kujenga hoja zao lakini pia kuweka sawa hoja kwa mtazamo wa kisheria na mikataba ya kimataifa.
Hapo swala la uteuzi wa akina mama ni ajenda/hoja nyigine na uwajibikaji ni ishu...
Huo unaouzungumzia ww ni mfumo dune ukweli in kwamba binadamu wote ni sawa Bali tunatofauti tu ya kimaumbile( me/ke) na sio gender roles,mgawanyo wa kazi na majukum ( sote twaweza)
Wanachokidai TGNP ni kwamba wapo akina mama wangefaa au wanafaa kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi kutoka kapu la uteule wa Mh.Raid.
Sifa zote wanazo wamesoma na kupata elimu/ujuzi na uzoefu wa Kutosha.
Ni kweli usemavyo kuwa Mungu alimuumba Adam( mume) kuwa kiongozi na mkutoa Hawa ubavuni mwa Adam kuwa msaidizi wake,baada ya kugundua upweke wa Adam.
Na hicho ndicho wanachokisema TGNP,ya kwamba miongoni mwa viongozi wateule wa Mh.JPM,na wanawake pia wawemo ili kufanya kazi ya usaidizi...
Mwishowe TGNP wafunguka na kumshauri Rais JPM,kuzingatia jinsia kama inavyoelekezwa/shauriwa kwenye mikataba mbalimbali ya kikanda na kimataifa pindi afanyapo uteuzi wa viongozi mbalimbali.
Kwa kusisitiza hilo TGNP walifika mbali zaidi kwa kuchambua idadi ya kina mama walioteuliwa katika...
Ukweli ni uonavyo mimi utabaki palepale ndg.yangu hakuna au hatujapata kiongozi wala chama cha Upinzani mwenye Uzalendo wa kweli na anaye jali maslahi ya watanzania kwa dhati ispokuwa wengi wao ni wasakatonge na wanasiasa uchurwa wanaojali maslahi yao na familia zao kwanza.
Ushahidi ni migogoro...
Ingawa sio mfasaha wa mazungumzo ya kitaalamu( mchambuzi) kama haya,nimeona nichangie angalau hata nukta 1 au mbili ili kupanua mawanda ya hoja iliopo.
Kimsingi Malalamiko juu ya vifo vyovyote vile duniani hujengwa juu na sababu /mazingira ya kifo/vifo vyenyewe kama sababu /mazingira yenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.