Search results

  1. Spider

    Today we made explosives!”

    Mother, “How was school today, Patrick?” Patrick, “It was really great mum! Today we made explosives!” Mother, “Ooh, they do very fancy stuff with you these days. And what will you do at school tomorrow?” Patrick, “What school?”
  2. Spider

    Mbuzi chokoraa damu

    hawa mbuzi kwa kweli ni balaa!nimewaona wanakula makaratasi katika shimo la takataka.
  3. Spider

    Bank ya jamii ya watu wa Mwanza imeishia wapi kuanza kwake?

    Habari wakuu, Kuna uzi uliwahi kuwekwa humu kuulizia mchakato wa kuanza kwa bank ya waalimu, na watu walitoa maoni yao na mpaka leo haieleweki kama itaanza hivi karibuni. Sasa, kuna hili la kuanzishwa kwa Mwanza Community Bank, matangazo yalitolewa (i.p.o) na watu wakanunua hisa, na nafasi za...
  4. Spider

    Kijana ajirusha kutoka gorofa ya 9

    kuna kijana amejirusha leo asubuhi kutoka gorofa ya 9 hospitali ya rufaa Bugando, mpaka chini. hakuwa mgonjwa na hajafahamika.
  5. Spider

    Tetesi: Ugonjwa wa Ebola Kigoma

    Kuna tetesi kuwa ugonjwa wa ebola umeingia Kigoma. Mkimbizi mmoja inasemekana amefariki.
  6. Spider

    vichwa vya habari magazetini kesho

    Mbowe amtia Lowassa Chadema... Mbowe amuingiza Lowassa Chadema.. Mbowe..'haikuwa kazi rahisi kumshawishi na kumtia Lowassa Chadema'.
  7. Spider

    Jambazi auawa na polisi Mwanza

    Jambazi mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi.Tukio limemetokea maeneo ya Nyegezi kuelekea chuo kikuu cha SAUT, Kituo kidogo kwa jina la 'Rose'. Majambazi walikuwa watatu, na walikuwa wakirushiana risasi na polisi, wawili mamekimbia. Wametelekeza gari waliyokuwa nayo aina ya mark II...
  8. Spider

    maid vs visitor

    Maid: What do you want,sir? Visitor: I want to see your master. Maid : What's your business,please? Visitor: There is a bill..... Maid : Ah! He left yesterday for his village... Visitor: Which i have to pay him... Maid: And returned this morning.
  9. Spider

    Msaada

    Naomba kufahamu kiswahili cha maneno haya, 1.BILL 2.INVOICE
  10. Spider

    peni na penseli

    Naomba maoni yenu wanajamvi. Hivi peni na penseli ni maneno fasaha ya (pen) na (pencil)? Kuna neno Kalamu hutumika kumaanisha hivyo vitu viwili. Peni huwa ni kalamu ya wino na penseli ni kalamu ya mti(sina hakika na ya pili lakini). Msaada tafadhali.
  11. Spider

    Nini kiswahili chake?

    Naomba kujuzwa kiswahili cha neno "JUICE". :high5:
  12. Spider

    Two Englishmen

    Two Englishmen are walking down the road when one says "Look at that dog with one eye!" The other man covers one of his eyes and says "where?"
  13. Spider

    Shule zilozoongoza matokeo kidato cha nne 2012/2013

    1. J.Kikwete sêc school. 2. Pius Msekwa sec school, 3. Kambarage sec school, 4. Ben mkapa sec school, 5. Yusuph makamba sec school, 6. Salma Kikwete sec school, 7. Jose mungai sec school, 8. LowerSIR sec school, 9. Mizengo sec school, 10. St. Anne makinda sec school
  14. Spider

    Stop bugging me

    While playing in the backyard,Ntonku kills a honeybee.His father sees him killing the honeybee and angrily says,''No honey for you for one month!" Later that afternoon,Ntonku's dad catches himtearing the wings off a butterfly."That's it!No butterfly for you for one month!"says his dad. Later...
  15. Spider

    habar zenu binafsi wandugu?

    welkaming myself in,naomba mnipokee kwa moyo mkunjufu wanajamii. Thanks.
Back
Top Bottom