Jambazi auawa na polisi Mwanza

Jambazi auawa na polisi Mwanza

Spider

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
1,641
Reaction score
558
Jambazi mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi.Tukio limemetokea maeneo ya Nyegezi kuelekea chuo kikuu cha SAUT, Kituo kidogo kwa jina la 'Rose'.

Majambazi walikuwa watatu, na walikuwa wakirushiana risasi na polisi, wawili mamekimbia.
Wametelekeza gari waliyokuwa nayo aina ya mark II.

Sijafanikiwa kupata picha. Haijafahamika walipokuwa wameiba.
 
Wamekimbila wapi hao majambazi sasa. maana eneo hilo lote kwa muda kama huu unavyoandika post lina watu wengi,sasa hao majambazi waliokimbia napata mashaka kidogo wamewatorokaje hapo askari.
 
Safi sana wapiganaji wetu!!vijana wanatafuta hela ya sikukuu,ili watusumbue bar!!malizeni kabisa!!
 
Wamekimbila wapi hao majambazi sasa. maana eneo hilo lote kwa muda kama huu unavyoandika post lina watu wengi,sasa hao majambazi waliokimbia napata mashaka kidogo wamewatorokaje hapo askari.

ni kweli,lile eneo kuna makazi mengi sana ya watu.ila watapatikana tu nadhani.
 
Watakuwa wameingia kwenye nyumba ya raia mwema sakueni eneo hongera polisi
 
Wamekimbila wapi hao majambazi sasa. maana eneo hilo lote kwa muda kama huu unavyoandika post lina watu wengi,sasa hao majambazi waliokimbia napata mashaka kidogo wamewatorokaje hapo askari.
lazima ujue kwa mkono wa kulia kutoka mjini kuna kijito chenye mawemengi kama wameteremkia huko wanaweza potea askar kirahisi
 
Back
Top Bottom