ukisoma umetulia,utaelewa. maid baada ya kuambiwa kuna bill,akasema tajiri wake hayupo akidhani yeye(tajiri) ndiye anapaswa kulipa,but mgen akasema yeye ndo anayeilipa kwa tajiri wake(maid),na maid akamwambia tajiri karudi.Hapo Maudhui Yamenichanganya Kabisa Yani,,,,