Search results

  1. D

    Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

    CO anaanza Na 610,000/ ambayo Ni TGHS B1.Makato Ni Income tax 14%,LAPF 5%,NHIF 3%.Na nyengine watumishi wa serikali watanisaidia.
  2. D

    Biomedical technician

    Sifa za kujiunga mkuu.Mkuu hii kozi Ni moja kwa moja ajira Na wizara ya Afya Kwan Kila Hospital wanatakiwa kuwepo kada hii kulingana Na muongozo wa wizara ya Afya (Ikama 2014-2019) ya Wizara ya Afya.
  3. D

    Biomedical technician

    Kaka kozi ya Bionedical technology kwa hapa Tanzania chuo gani kinatoa.kwa sabanu hii kozi Ni market Sana.Tafazal naomba jibu Kuna Mdogo wangu anataka Sana kusoma hii kozi.
  4. D

    Fahamu kuhusu usimamizi wa miradi (Project Management)

    Je munafundisha Namba ya kuandika Project Proposal,Business Plan Na Strategic Plan.Naomba ufafanuzi tafazali
  5. D

    Kazi zipi hufanywa na wataalamu wa Monitoring and Evalution?

    Asante wakuu kwa ufafanuzi.nimewapata sana
  6. D

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    2016/2017 - Undergraduate Admission Guide Book - Tanzania Commission for University
  7. D

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Angalia TCU guidelines itakusaidia.nafikiri ukiingia kwenye website ya TCU download guideline .Hapo swali lako utapata jibu
  8. D

    Mwaka mmoja tu mtaani nimeshakuwa frustrated kiasi hiki, dah!

    Mimi nimepitia CV yako Ni kweli Kama wanadau wanavyoelezea haina mashiko.Fanya mabadiliko ktk kipengele cha Elimu anzaa ya juu kuja elimu ya chini.Pia ktk referee haipo vizuri Na nini unaweza kufanya kwa mfano ktk sehemu uliokuwa unafanya field elezea kazi ulizokuwa unafanya.Zaidi unaweza...
  9. D

    Kazi zipi hufanywa na wataalamu wa Monitoring and Evalution?

    Kwa anaefahamu kazi zipi zinazofanya Na mtu aliesomea monitoring and evaluation.Na Kuna muundo wowote kwa Utumishi wa umma?.
  10. D

    Tigopesa,Airtel money and Mpesa

    Ninaomba ufafanuzi wa kupata comission ukiwa wakala wa huduma hizi.Kama Kuna calculation yoyote ya Namba ya kupata comission.Tafadhali kwa anaefahamu.
  11. D

    Yanga hakuna bure tena?

    Mechi Ni ngumu Sana.Yanga inatakiwa kushinda hili gemu ili kufufua matumaini yaliopotea.
  12. D

    Tigopesa,Airtel money na Mpesa

    Naomba ufafanuzi namna ya kupata line hizo Na faida zinakuwa vipi kwa mfano ukiwa unamtaji wa 1,000,000 Na Unao wateja wakawaida wakutoa Na kuweka kwa mwezi commission unaweza pata kiasi gani?.
  13. D

    Research,Monitoring and Evaluation

    Habari wakuu wangu!.Kuna anefahamu chuo kinachotoa kozi ya Master ya Research,monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania,Kenya au Uganda.Kama Kuna mtu anafaham anifahamishe tafadhali.
  14. D

    Oral interview NHIF

    Wadau Kuna mtu kwenye taarifa kuhusu oral interview za NHIF au ndo mchakato umeisha maana kimya kimezidi.Naomba ufafanuzi tafadhali kwa anaefahamu.
Back
Top Bottom