Search results

  1. shinji jr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mkuu shukran kwa mizigo ila sehemu ya 584 umeiruka
  2. shinji jr

    Innocent Killer (The Revenge)

    Umetisha mtaalam...usitupe arosto zaidi mzee
  3. shinji jr

    Innocent Killer (The Revenge)

    Tuongezee dozi mzee,umetupunja sana hahaha
  4. shinji jr

    Ni nani aliyemjua Mwalimu huyu wa Michezo Aza Boy kuwa alikuwa Jasusi(kachero)refa wa mchezo wa Ngumi?

    Nimesoma miaka 6 yote pale 2010-16 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. shinji jr

    Ni nani aliyemjua Mwalimu huyu wa Michezo Aza Boy kuwa alikuwa Jasusi(kachero)refa wa mchezo wa Ngumi?

    In the haven of peace, Azania stand at ease. To awaken,strengthen,to feed our hungry minds. You are known far and wide,you are always our guide. We will never forget you. Beti ya kwanza hio Sent using Jamii Forums mobile app
  6. shinji jr

    Ni nani aliyemjua Mwalimu huyu wa Michezo Aza Boy kuwa alikuwa Jasusi(kachero)refa wa mchezo wa Ngumi?

    Jamaa itakua alikua kitengo mawe [emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. shinji jr

    Ijumaa (16/4/2020) Kings Music wanamtambulisha Msanii mpya

    Mbona anatambulishwa mara ya pili?si alisha mtambulisha ile siku aliyotoa tamko la penseli! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. shinji jr

    Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

    Watu waache ujinga wa kumpambanisha Zuchu kwa sasa na wasanii walio mtangulia na wakafanikiwa zaidi. Nandy hadi kufikia hatua ya kufanya Music Tour yeye mwenyewe ni ukosefu wa nidhamu kumlinganisha na mtoto mgeni kwenye sanaa. Wasubiri akomae kwanza ndo wamlinganishe. Sent using Jamii Forums...
  9. shinji jr

    Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

    Spartacus The Mnyama mkali utakua unauza CD tu wewe [emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. shinji jr

    Finally tumemuweka lily omy in da house Wcb

    Galacticos Sent using Jamii Forums mobile app
  11. shinji jr

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    Abdul Mohammed alikua GS bora zaidi Azaboy na alikua anatangaza EATV wkt yupo shule akaja kupata deal BBC London...nilimkuta akiwa form 4 wakati naanza form 1 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. shinji jr

    Kiki za Konde Boy si mchezo

    Umekosea jina mkuu!hebu jaribu kuliandika vizuri tuone kama atakuwepo kwny listi yao Sent using Jamii Forums mobile app
  13. shinji jr

    Tukumbushane school mottos

    Education Excellence and Sportmanship [emoji2][emoji2] sijui niko sawaa hapo! Ila nakumbuka tu school song "In the haven of peace, "Azania stand at ease....." Azania Sec. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. shinji jr

    Namtumia Pompeo

    Nawachukia sana watu wanaosema "Tanzania ni nchi huru" wakati waTZ wenyewe hatupo huru ndani ya nchi yetu. Kila mwenye kuona ovu akalikemea ataitwa msaliti na hii ndo inayopelekea maovu yote kufumbiwa macho. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. shinji jr

    Mwalimu auliwa na kuchomwa moto na wazazi kwa sababu wanafunzi wamefeli mitihani

    Tusiisemee Kenya kwa mauaji ya hovyo ikiwa hapa kwetu watu wanachinjwa hadi familia nzima,wamama wanaua waume zao kikatili,nyumba zinachomwa moto zikiwa na watu ndani,watoto wadogo wanauliwa kinyama na watu wanatupwa kwny viroba bila idadi kamili. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. shinji jr

    Hebu njooni tujadili hili kutoka Simba SC

    mwangalingimungu, Uchambuzi mzuri na wenye kuonyesha mambo ya msingi kwa kila mwana simba kuyafikiria na kuyatilia maanani ili wakati mwingine wazoee hali yoyote ya matokeo katika mpira. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. shinji jr

    Wife kanikamata red handed najiandaa kwenda kula Christmas na mpenzi wangu

    Nasubiria na siku utakayo kuja kutaka ushauri umemfuma mkeo anachat na jamaa aliegundua fursa na gepu kwa mkeo Sent using Jamii Forums mobile app
  18. shinji jr

    TAHADHARI: Wizi mpya umeibuka, wezi wanatumia boda boda

    Huu wizi ulkua common sana maeneo ya kigamboni na mara nyingi ulikua wakifanyiwa wanafunzi wa vyuo wanaoishi kule Sent using Jamii Forums mobile app
  19. shinji jr

    Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Siku hizi kila anaefikishwa mahakamani basi lazima atakua na kesi ya utakatishaji fedha [emoji2][emoji2] inaonekana kweli pesa imekua adimu sana hadi watu wanafanya uhujumu uchumi. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. shinji jr

    Dubai all African Music Festival. Je, Ali Kiba kasahaulika?

    Yani unataka akaimbe mshumaa dubai!!
Back
Top Bottom