Search results

  1. ommy15

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Ulichokisema ni kweli mkuu,mimi nimefanya biashara ya migahawa kwa muda mrefu kiasi na biashara ya chakula ndio biashara yangu kuu. Kwa uzoefu wangu wa biashara ya chakula hasara inasababishwa sana na vijana wa kazi kwanza wahudumu,wapishi na wateja pia. Wahudumu ndio wezi namba moja watauza oda...
  2. ommy15

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Ulichokisema ni kweli mkuu,mimi nimefanya biashara ya migahawa kwa muda mrefu kiasi na biashara ya chakula ndio biashara yangu kuu. Kwa uzoefu wangu wa biashara ya chakula hasara inasababishwa sana na vijana wa kazi kwanza wahudumu,wapishi na wateja pia. Wahudumu ndio wezi namba moja watauza oda...
  3. ommy15

    Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

    Kuna binti nimewahi kuwa na mahusiano nae nilimuacha kwa sababu ya baba yake. Yule binti ukishinda nae siku nzima anamiongelea baba yake tu. Ilifika sehemu nilichoka hadi nikaanza kupata hisia mbaya dhidi ya baba yake nikaamua kumuacha kabisa.
  4. ommy15

    Naomba kujuzwa gharama za kupanda Mlima Kilimanjaro

    Wakuu mimi nafikiria mwaka huu nifike huko ila lengo nifike maeneo jirani na mlima sehemu ambazo nitapata view nzuri ya mlima. Nipo na watoto so sihitaji kupanda mlima. Ni maeneo gani mazuri
  5. ommy15

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Kumbuka hao ni maaskofu,hapo ni degree,masters na Phd tupu sio makanjanja hao
  6. ommy15

    Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Pole mkuu,chakufanya hiiyo hela uliyoplan kumpatia nunua zawadi ya mtoto kama tayari amepata mtoto kama bado nunua hata kitenge mpelekee.
  7. ommy15

    Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Kaka naona unaijua sana na hii sekta. Mungu akijalia mwisho wa mwaka huu nitaingia huko naomba nikutafute nipate madini.
  8. ommy15

    Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Mkuu unafikiri muda mzuri wa kuachia chumba ni saa ngapi?
  9. ommy15

    Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Hela anapata mikoba(kondakta) mimi ilibidi niwe kimakakati sana. Ikifika saa 4 natoa buku 5 naweka kwenye kamfuko ka jeans kale kadogo. Saa 10 naweka tano tena. So jioni kwenye mgao wa posho nakuwa nmemtangulia dereva kwa 10,000. Nakama unavyojua kwenye mgao kondakta anapata kidogo na dereva...
  10. ommy15

    Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Ile kazi ni ngumu sana kaka hasa kwa mazingira ya dar es salaam. Kondakta anasimama siku nzma,matusi ya abiria,usumbufu wa trafki nk. Ila kwa kipindi nafanya hii kazi hela ilikuwepo nilisave sana hela nakumbuka kila wiki nilikuwa naweza kuweka benki 150,000. Kwa tuliosoma soma kidogo kufanya ile...
  11. ommy15

    Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Nilifanyakazi ya ukondakta kwenye daladala bagamoyo to mwenge nikiwa na digrii yangu ya Marketing. Nakumbuka siku ya kwanza tumeamka saa 10 alfajiri picha linaanza vituo sivijui coz dar nilienda tu kutafuta kazi baada ya kumaliza chuo. Nikasota kama miez 8 hakuna cha maana nafanya ndio nikaamua...
  12. ommy15

    Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Habari wadau,ninaplan ya kutembelea mlima kilimanjaro mwaka huu. Nitakuwa na familia so sidhan kama nitapanda mlima ila nataka kujua sehem gani nitaweza kuona mlima vizuri,sehemu yenye hotel au lodge nzuri na gharama nafuu na pia sehemu nitakayoweza kupiga selfie kali kali[emoji12][emoji12]
  13. ommy15

    Najuta sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba ungevuliwa kama samaki wa maji ya kina kifupi
  14. ommy15

    Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

    Angalia video ya mchngaji (R.I.P) Dr Myles Munroe anaeleza kwanini wasiowacha Mungu ni matajiri na wakristo ni masikini sana. Kwa kifupi anasema sali sana ila fanyakazi. Uwe na shughuli ya kuingiza kipato ukiwa kanisani unasali Muombe Mungu aibariki kazi yako,akuletee wateja nk sasa wakristo au...
  15. ommy15

    Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

    Its simple bro,kwa jeans nunua zile original ingawa ni bei kali. Zipo hadi laki moja kwa jeans moja au tshirt 50,000. Pili kuwa na nguo nyingi ili usirudie sana nguo na hence usifue mara kwa mara. Tatu nguo kama jeans haifuliwi mara kwa mara kwa mwaka iwe hata mara 4 hadi 5( uwe nazo nyingi)...
  16. ommy15

    Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

    Kuna niliyenae anatoa vyote kwanza cream then nikipiga terero ndio mafuriko. Mwingine huyu ni wa singida huko mweupe kama mbaramwezi,hana antena(amekeketwa)ila anasquit balaa hapa ndio wataalamu niambien hivi antena(knembe) hakihusikia sana hapa.
  17. ommy15

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Mnapatikana wapi au hizi bidhaa zinauzwa wapi Je brand gan ni nzuri
Back
Top Bottom