UTANGULIZI:
Kwa muda sasa serikali imetangaza kuendelea na zoezi la urasimishaji ardhi kwa maeneo yasiyopimwa (squatters). Kufanikisha hilo, serikali imekuwa ikishirikiana na makampuni binafsi ya ardhi kufanya sehemu kubwa ya kazi hizo. Watu katika kampuni hizo wanalipwa kutoka kwa michango ya...
Nafikiri hii ni hoja ya msingi, ingawa baadhi yetu tumekwenda moja kwa moja kuipinga na wengine kumshambulia mwandishi.
Ni jambo linalowezekana kabisa; kwa mfano, DSTV unaweza kuwapigia simu leo kuwaomba wa-stop consumption ya bundle yako kwa muda fulani ukiwa unafahamu kwamba hutatumia kwa huo...
Nakubaliana na msingi wa hoja yako.
Nafikiri suala la uchaguzi na demokrasia limekaa kisiasa zaidi; kwa sababu ni muhimu kwa wananchi kuamini kuwa mtu anayewaongoza ama anayewawakilisha ni chaguo la wengi - hiyo inasaidia kwenye suala la amani/utulivu pia. Tukipata njia ambayo itasaidia kufanya...
Kwa maoni yangu; TRA wanatakiwa kufanya mambo makuu matano (5) ili kuleta tija zaidi kwenye utendaji wao:
Wabadilishe mindset waliyo nayo juu ya wafanyabiashara na biashara
Kwa sasa hii ni general mindset waliyonayo TRA:- 'wafanyabiashara wote wanatengeneza faida na ndio sababu kubwa ya wao...
Sifahamu sababu zilizopelekea kuondolewa kwa mkurugenzi, ila kwa upande wangu nilipenda sana utaratibu wa Online Registration. Ni taasisi iliyoonyesha mfano wa ni jinsi gani vitambulisho vya taifa vinaweza kutumika kupunguza urasimu. Suala la watu kutopata vitambulisho kwa wakati ni tatizo la...
DAWASCO ; Kwa muonekano huu wa kuchelewesha kujibu hoja za wateja, inaonyesha hii Special Thread haijakuwa assigned kwa mtu specific wa kushughulikia kujibu kero za wananchi. Kama mmenuia kutumia njia hii kuwa karibu na wateja wenu, ni vyema mkamu-assign mtu 'informed' wa customer service awe na...
“Hizi ni zama za ukweli na uwazi”- iliwahi kuwa kauli mbiu katika kipindi awamu mojawapo ya serikali iliyowahi kutuongoza.
Hapa hatutajikita kuchambua hiyo serikali na wanasiasa, bali tutazungumzia neno uwazi - ni kwa jinsi gani linaweza kuwa kichocheo cha maendeleo ya kasi katika nchi.
Kwa...
Natumai wengi wetu tunafahamu tatizo la mashimo ya barabarani ambalo linakuwa kubwa zaidi vipindi vya mvua.
Kwa wale wasafiri wa mikoani, nako pia tumeshuhudia barabara kuu zikiwa nashimo mengi sehemu zisizotarajiwa. Sehemu nyingine mashimo yanakaa kwa muda mrefu na kuendelea kusababisha...
Wanasheria wanakuja mahakamani mkuu. Kama kesi za mauaji hatuzioni zikipelekwa mahakamani hakuna suala la kisheria hapo; ni aidha upelelezi dhaifu, kudharau mtu/watu waliofariki, uzembe, ama kukosa utashi/'guts' ya kumshtaki aliyehusika. Sioni kama tunahukumu au kuchochea chuki; tunawakumbusha...
Kwa namna yeyote ile, si sawa kukatisha maisha ya mtu kwa kumuua. Hata uwe askari, mwanajeshi, usalama wa taifa ama raia wa kawaida. Hilo swala ni la kulaaniwa vikali na jamii yote. Huyo aliyeuawa ni mwanadamu kama nilivyo mimi na wewe, ana watu na jamii inayomhusu - hakustahili kukatishiwa...
Kazi nzuri TANESCO. Mumekuwa responsive sana katika swala nililoripoti humu. Niliwatumia ujumbe jana asubuhi na jana hiyo hiyo mlinipigia na mafundi wakafika na kurekebisha tatizo. Nawapa 5 stars. Endelezeni huo utamaduni.
Asante kwa mchango mzuri. Ila bado nimebaki na maswali kadhaa:
Iko sawa kuanza kuichaji hata kabla mwanafunzi hajamaliza masomo yake?
Kwa nini wasingetoa grace period ya kutafuta kazi, then mkopo unapokuwa deni ndo waweke assumption ya value retention?
Vipi kuhusu kuweka hilo swala wazi...
Habarini wana jamvi wa Jamii Forum…
Bodi ya Mikopo imekuwa ikijinasibu kuwa inatoa mikopo isiyo na interest kwa ajili ya kusomesha watoto wa maskini. Lakini kwa utafiti mdogo nilioufanya, nimegundua kuwa mikopo inayotolewa na bodi ya mikopo ina riba iliyofichwa kwenye jina la value retention...
Msingi wa kuahirishwa kura ya maoni ilikuwa kupisha uchaguzi mkuu. Lakini si mbaya kuwa na matumaini chanya ya kufananisha mchakato wa katiba na msingi wa nyumba. Inawezekana likawa tayari limewekwa kwenye mpango wa serikali wa miaka mitano (ama kitu kinachofanana).
Kwani kura ya maoni ya kuipitisha katiba mpya imewekwa kwenye bajeti ya serikali Ya 2016/17..??
Kama haijawekwa basi hoja ya matumizi yasiyo na tija itakuwa na msingi.
Kikweli siwezi kupingana na maamuzi ya wizara /serikali maana wanajaribu kutekeleza jukumu lao la kutunza maadili ya taifa. Ila mimi binafsi niliipenda ile video, na kwa maoni yangu nashauri serikali iboreshe mfumo wake wa censorship kwa hizo kazi za sanaa. Kwenye jamii ya Tanzania kuna watu wa...
ndo maana tuna taaluma tofauti. kama wewe ni mtaalamu wa takwimu na umeshafanya ranking yako iweke hapa na ufafanuzi wake. Mpaka sasa tutaendelea kusoma ripoti zilizopo. Ama kama unaijua iliyoirank TZ juu ni vema ukaweka kuliko kuishia kudiscredit kazi za watu wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.