Search results

  1. ki2c

    Sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndio hawa

    Wote wakiweka visa vinavyowakatisha tamaa wasio,humu kutajaa,usidhani mmoja kumuanika mwanamke asiyefaa,ukadhani ni huyo mwanamke tu,ukute mkeo jamaa aliyemla leo,hajaandika humu,kaona uvivu.
  2. ki2c

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Siwezi kufurahia kifo,kwanini bibi yangu,damu yangu,MKE WANGU kwasababu alikua ananiita mume,kipenzi changu,afariki lakini nisisikitike? Acha kunikumbusha mambo ya bibi yangu,kwanza sijui umwmletaje hapa bibi yangu? Unazingua.
  3. ki2c

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Sasa nawewe unaamini mtu poa kabisa, Gardner awe anapata deals nyingi,anasaidia watu,ashindwe kujitunza na kumtunza mwanamke? Aisee... jamaa hata hivyo alikua anaonekana ni mpole in nature,sidhani baadhi ya mambo ya kwenye nyimbo kama yalikua yanamhusu na kuonyesha yuko poa,alikua anapiga nyimbo...
  4. ki2c

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Yule sijui ndugu yake, mtoto wake aliwahikulipiwa ada milioni tatu,useme huyo Gardner alikua analelewa....? Moja ya watu walionimalizia MB ni pamoja na Gardner,amenihuzunisha sana.
  5. ki2c

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Kuna intavyuu za kutisha tu,Gardner kaeleza alikua anapata mshahara tena mkubwa,angekuaje mwanaume kama mabinti? Gardner alikua mtu poa sana,watu wanasema tu.... ilimradi kusema.
  6. ki2c

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Kwanini useme ni feki,limakanushwa na mamlaka?
  7. ki2c

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Kama wewe ni mmama,wanaume wapenda michepuko itakua waoifurahi kinoma.Utakua uliulizwa tu,hivi kweli mmeachana,nisije nikafumaniwa? Ukajibu NDIYO,we lala tu usiwe na wasiwasi
  8. ki2c

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Kama kweli kazuiwa kuchangia,ukute kafuatwa na mzee wa SOGELEA TELEGRAM ili tukapate stori Kwa kulipia.
  9. ki2c

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Sidhani kama kuna kipya hasa kwa mtu ambaye mmekua kwenye mahusiano toka sekondari,mkakutana chuo,mkapanga chumba kimoja,mkawa mnaishi kama mke na mume,miaka mitatu au zaidi,halafu mje muoane,sidhani kama kuna kipya.
  10. ki2c

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Bilashaka anaamini kua JPM angekuwepo, maendeleo Kisesa yangekua juu na hataki yajirudie anayohisi yalitokea kwa JPM.
  11. ki2c

    Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Hadi Sasa kwenye duru za siasa za Tanzania bara, January Makamba anaonekana ndiye mtu atakayemrithi Samia,jamaa watu wamempigia kelele akiwa nishati,akahamishiwa wizara ya mambo ya nje kimkakati,akitoka huko... anajua mikakati yote,ndani ya chama,ni kutekeleza tu kuingia Ikulu.
  12. ki2c

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Siyo kila mtu anavutiwa na masingo madha,wengine hutaka wasichana.
  13. ki2c

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Huyo ana watu nyuma yake Kwa hili
  14. ki2c

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Sasa itatufikiaje wote ilhali kwenye kazi kama hizi,unakuta mtu ana ajira ya kudumu serikalini halafu unakuta kapanga foleni kwenye ajira hata hizi za ambazo sisi jobless tunaona zinaeeza kutu-boost? Muda mwingine tunalaumu waheshimiwa kurundikiwa vyeo,kumbe na baadhi yetu tuna hulka hizohizo tu.
  15. ki2c

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Acha kua myopic,huoni wasio na ajira ni wengi,kwanini wasizingatiwe? Nyie ndo mkipata madaraka mnataka kila kazi mfanye,pasipo kufanya kitu kinaitwa mgawanyo wa majukumu.
  16. ki2c

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Tena wao walio na ajira ndo ambao wataharakisha kutoa rushwa,ili watendaji wawaweke,ukizingatia na mshahara utakua umetoka,sisi jobless tunabaki kung'aza macho tu.
  17. ki2c

    Titus Amigu: Maneno uchawi au mchawi kwa dhana za Kiafrika hayastahili kuwamo kwenye Biblia

    Inasemekana anawekewa vikwazo asiwe padri kwasababu alizaliwa Msumbiji,ilhali elimu yake yote kaipatia Tanzania na ameongoza vema taasisi zote alizokabidhiwa kuziendesha.Nadhani ni roho mbaya tu.
Back
Top Bottom