Search results

  1. Farudume12

    Natafuta mpenzi/mume

    Jamani kuweni makini... Hakuna mtandao unaojaza vibaka kama JF. Mtalizwa, shauri yenu.
  2. Farudume12

    Ipad accer iconia one 10 b2-a32

    Laki 4 kwa usawa huu rafiki. Mmmmh jaribu jaribu, unaweza bahatika
  3. Farudume12

    Mwanaume kufuata dini ya mwanamke huo ni utawala wa shetani

    MARIOO a.k.a KINGASTI. ivi na wale wanaume wanaoishi na wanaume kama mke na Mme? Daaah Kweli Dunia imefika mwisho.
  4. Farudume12

    Hivi Rwanda wana maendeleo yapi kwa mfano? Unajua vitu vingine vinachekesha mno jamani

    Hatasiku moja inchi inayo ongozwa na Muuwaji kama KAGAME, itakuja kupata utulivu. Uchumi wa Rwanda unakuwa kwa wizi wa Madini na Mauwaji KAGAME na wapumbavu wenzake EAC, wanafanya DRC congo. Tokea 2005 hadi Leo nizaidi ya watu milioni 6 wame uwawa na kagame huko DRC congo
  5. Farudume12

    Picha/video wakati wa faragha

    Kumbe nandy anapigwa nyuma eti. Daaah kitoto kidogo kinafanya mambo ya ajabu kabisa. Sodoma na gomora.
  6. Farudume12

    Mchumba wangu anapepo linalonichukia

    Kwani wanawake wameisha ndugu? Huyo tatizo analifaham vizuri saana. Anaogopa kukwambia tu. Fanya maombi asije kuachia na mikosi.
  7. Farudume12

    Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

    Vimbaombao vinajituma kwenye 6/6. Alafu asilimia kubwa hawanaga maji mengi. Wala kunuka papuchi
  8. Farudume12

    Nahisi simfai mke wangu, natamani aanze harakati za kuniacha

    Fanya uni connect na mke wako, nimuowe....nina shida ya mke mwema aliye tulia. Ulisha mzalisha wangapi?
  9. Farudume12

    Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Inawezeka Mimi ni 1 katika hao 7 walio kununua
  10. Farudume12

    Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Wewe na wale wanao jipanga Sinza mori hakuna tofauti. Mbaya zaidi hutumii kings... Aisee, wanaume 7? Duuh kapime kwanza ukimwi. Na gono pia
  11. Farudume12

    Bibi harusi amkimbia bwana harusi baada ya kugundua si muhasibu wa shirika la mafuta kama alivyoaminishwa awali

    Wanawake wakizazi kipya!! Hapo hapakuwa mapenzi yakweli. Inamaana hata ingetokea jamaa kazi anafukuzwa, uyo mwanamke angesepa tu, ao kuanza kuchepuka. Mama zetu wameolewa na wanaume wasio faham maisha yao kazi zao. Walikuwa wanakabiziana. Baba wa mwanaume anakwenda kwao na mwanamke, wazeeh...
  12. Farudume12

    Nipo kwenye utafiti mchango wako ni muhimu kwangu na jamii yote ya Tanzania

    Kwakumalizia.... Mapenzi yapo sehem yote. Ila kusema ukweli yale mapenzi wanayo igiza kwenye Movies zaki korea hayapo Dunia nzima. Kwanza huko inchi zilizo endelea wanajifanya wana haki za binadam (haki sawa) wanawake kwa wanaume. Sehem kama iyo haitakuja tokea eti wana mapenzi ya kweli... Ni...
  13. Farudume12

    Nipo kwenye utafiti mchango wako ni muhimu kwangu na jamii yote ya Tanzania

    Mapenzi yapo kwa njisia zote.... Ila kutokana na taifa latlinaitajisi lijengwe na likuwe kwa haraka, ningeshauri kwa vijana, Movie zenye history za mapenzi mapenzi tuwaachie wanawake. Zipo movies zakuangulia hadi unajengeka kifikra na kiroho. Seson kama PRISON BREAK, LOST, 24HOURS... japo...
  14. Farudume12

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Nimuhimu ila inategemea....raha ya mapenzi nikupeana na kusaidizana. Sio kwasababu mimi ni mwanaume ndo unikomoe kwakuni piga vibomu, wakati sisi wote tunafanya kazi. Ikitokea nakupa nawe pia unatakiwa unisameh wakati mwengine
  15. Farudume12

    Application inayotoa mkopo direct kwenye simu yako kupitia M-pesa.

    Acha Masihara bwana were. Kama kweli unamaanisha wakwanza mimi. Nipe M5 fasta hapo thamana naweka gari yangu.
  16. Farudume12

    Mkopo wagari unahitajika

    Nimekuelewa vizuri saana, na iyo Kampuni inapatikana wapi mkuu. Mimi kulipia iyo 40% sijakataa ilimradi nipate gari nilizo taja hapo juu. Hata 50% nipo tayari. Kampuni ganu hiyo. Ebu nielekeze.
  17. Farudume12

    Mkopo wagari unahitajika

    Hamna chakushangaza hapo boss. Hatu uziani Bali kuna
  18. Farudume12

    Mkopo wagari unahitajika

    Sasa unashangaa nini? Kwani tunauziana? sini mkopo, iyo laki 5 nikama akiba.
Back
Top Bottom